Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wana JF, Nawezaje kuiset simu pixel 3xl iweze kutumia laini mbili zote ziwe active at the same time msaada tafadhali. Tayari nimeshajisajili na airtel e_sim ila shida ndio hio.
2 Reactions
1 Replies
899 Views
Umoja wa nchi za ulaya umekuja na sheria mpya kwa makampuni makubwa ya Teknolojia ulimwenguni. kuwapa uwezo watumiaji mbalimbali wa mitandao kama vile signal, telegram, Whatsapp nk kuweza...
2 Reactions
0 Replies
518 Views
Sasa kuna hii inaitwa PI AI, yenyewe ni tofauti na bots nyingine kwa sababu imetengenezwa kukustudy na kujua tabia zako ili iendane na wewe. Mfano ukiandika lugha ya mitaani itakujibu kwa lugha...
2 Reactions
7 Replies
747 Views
Unaweza kuwa na lundo la videos ambazo huwezi kuja kuziangalia tena, huwa ni sawa na makorokoro, Pc ama hata simu yako ni sawa na chumba, ni muhimu iwe na nafasi ya kupumua, toa makorokoro hayo...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Salam wakuu, Poleni na mihangaiko ya kila siku. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Naomba kujua speaker nzuri inayotoa mziki mzuri ambayo itafaa katika matumizi ya pub au lounge. Naomba...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Kuna rafiki yangu anasema account yake ya facebook wameibadili password na email aliyotumia kufungulia...ila anasema wahuni walianza kuingia na kupost vitu vya ajabu hapo awali kabla...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
DAWASCO ni kwa wtu wa Dar Es Salaam mikoa mingine inaweza kuwa na jina jingine.... Je unajua kama huduma ya maji ya DAWASCO ina weza kukuzalishia umeme Bila kuvunja sheria...? Hii hasa itakua...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Unatumia Winrar ? kama jibu ni ndio nikujuze kwamba kuna tundu kwenye matoleo ya zamani limejizolea umaarufu kusambaza virusi, Virusi hivi vimekuwa vikiambatanishwa kwenye mafaili tunayoodowload...
1 Reactions
0 Replies
530 Views
Oraimo ni brand ya mchina lakini mchina anayejielewa. Bidhaa zake huwa ni imara sana, kuanzia Charger, USB Cables, Ear Pods, Power Banks nk Kwasisi watu wa kipato cha kati hizi bidhaa zake...
11 Reactions
9 Replies
1K Views
Nataka kununua generator la 3.5 kva kwa ajili ya kuendeshea stationary, tanesco wamegeuka mwiba huku kijijini. Ni brand gani yenye generator bora zinazotumia petrol, naomba kupata vidokezo juu ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamvi, Nina simu aina ya oppo 57 imetoa changamoto haimalizi kuwaka yaani inafika eneo la logo, nikamuulizia jamaa yangu ambaye kidogo hivi vitu anavifahamu yupo eneo tofauti na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nataka kuweka Azam Max mobdro na apps nyingine zenye akili cha ajabu. Naambiwa google play kwenye hii device haiwezi kudownload kama kuna njia nyingine. Naombeni msaada.
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Mambo yanazidi kushika Moto [emoji87] Duniani [emoji189]Serikali ya nchi ya china imezuia watumishi wa serikalini (wafanyakazi) kutumia simu za iphones makazini. Kupitia ripoti iliyotolewa na...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Samahani wale ma IT na computer science mlioko huku Nataka kutengeneza Sexy Voice Kwa kutumia audio, ndio na edit nini au kuna app gan natumia?! Mume Yuko mbali so lazima nimpagawishe🏃🏃🏃🏃
3 Reactions
44 Replies
2K Views
Natafuta mtu anayeweza kutengenezea CRM ya kiswahili. Iwe web based na app. Iwe nyepesi na inayoweza kuload haraka hata kwa internet isiyo strong. Hosting na kila kitu inakuwa kwenye servers zetu...
1 Reactions
13 Replies
944 Views
wadau nina zaidi ya vishikwambi 3 maarufu vya sensa (pritom tablet) zina shida ya kuandika emergency na kupoteza network kabisa. Mtaalamu anijuze namna ya kutatu hilo tatizo tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
941 Views
0 Reactions
1 Replies
374 Views
Wakuu niende kwenye hoja. Watu wengi wanatuma picha na makablasha mbalimbali Kwenye status page ya Whatsapp. Pia pale Facebook kuna Ile sehem ya stori. Kule kuna Instagram na maticktok binafsi...
8 Reactions
59 Replies
4K Views
Nimeamka asubuhi nataka kuingia WhatsApp wananiambia your WhatsApp number is banned from using watsap. Naombeni msaada namna yakuifungua saizi maana ninafanya upatu namm ndoninaechezesha MCHEZO...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Baada ya kusikia Apple Event Rasmi Tukio lao ni Septemba mwaka huu 2023 kukiwa na matarajio ya kuona simu,tablet na vifaa vingine vipya toka apple iphone 15, iphone 15 zinatarajiwa kuachiwa na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom