Google pixel 8 series zinatoka lini ?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Baada ya kusikia Apple Event Rasmi Tukio lao ni Septemba mwaka huu 2023 kukiwa na matarajio ya kuona simu,tablet na vifaa vingine vipya toka apple iphone 15, iphone 15 zinatarajiwa kuachiwa na zinginezo.

Google nao rasmi mwezi wa kumi wataweza kuachia vifaa vyao vipya matarajio ya watu wengi kuweza kuona simu mpya series ya Google pixel 8 na Pixel 8 pro ikiwa na Pixel watch 2 pia.

Google pixel 8 series zinakuja zikiwa na kizazi kipya Cha processor aina Tensor mobile processor, ndani yake pia kutakua na feature mpya ya Akili bandia ambayo itaitwa Audio magic Eraser tool.

Pia inakuja na teknolojia ya uwezo wa kukupima joto la mwili wako kupitia sensor iliyopo nyuma ya kamera utaweza kupima joto lako na kukupa majibu.
images%20(36).jpg
View attachment 2736348
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom