Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,285
- 2,595
Mambo yanazidi kushika Moto [emoji87] Duniani
[emoji189]Serikali ya nchi ya china imezuia watumishi wa serikalini (wafanyakazi) kutumia simu za iphones makazini.
Kupitia ripoti iliyotolewa na the wall street Journal, kuwa wafanyakazi wa serikalini kuanzia wabunge, wanasiasa, wanajeshi marufuku kutumia simu ya iphone kwa ajili ya shughuli za ofisini au wakiwa makazani Yani kiujumla hawataki kwenda nazo makazini.
View attachment 2741435
[emoji189]Kupitia kwenye vyanzo ambavyo havijatajwa Majina kuwa china inataka kuondoa au kupunguza utegemezi wa nchi hiyo kutumia au kutemea teknolojia za kigeni kwa ajili ya usalama wq Mtandao pamoja kuzuia data ambazo nyeti kuvuja nchini kwao.
[emoji189] Hali hii imekuja kuongeza ulinzi wa kimtandao (cyber security) wanahofia data zao zinaweza kuvujishwa na Serikali za kigeni. Hatua hiyo inalenga simu zote za Smartphone ambazo zinatengenezwa toka nje ya nchi ya China.
Lakini kampuni ya Apple ndiyo inaongoza kuuza bidhaa zake mbalimbali nchini china pamoja na Kampuni ya Huawei. Pia marekani imepiga marufuku kutumia teknolojia za kigeni toka china kuanzia simu za Huawei, ZTE , app tiktok wanaamini data zao zinakua sio salama.
Tukio la china kuzuia kutumika simu za apple makazini ni kutaka kuongeza juu ya uuzaji wa Simu za Huawei nchini kwao.