Futa winrar toleo la zamani lasivyo waweza kuwa muhanga wa virusi vipya, nimeelekeza namna ya kupata toleo jipya bure

Start-Menu

Member
Sep 10, 2023
12
63
Unatumia Winrar ? kama jibu ni ndio nikujuze kwamba kuna tundu kwenye matoleo ya zamani limejizolea umaarufu kusambaza virusi,

Virusi hivi vimekuwa vikiambatanishwa kwenye mafaili tunayoodowload, kushare, kuingiza kwenye flash, n.k. vipo vinavyochunguza unachofanya, vinavyoiba password, vinavyofungia mafaili, n.k.

wala usipaniki, kuna suluhisho la kujikinga na virus hao kwa kutumia toleo jipya,

Utapewa siku 40 za Trial kutumia bure, fuata hizi hatua kuweka funguo ya kuitumia moja kwa moja



RAR registration data
WinRAR
Unlimited Company License
UID=4b914fb772c8376bf571
6412212250f5711ad072cf351cfa39e2851192daf8a362681bbb1d
cd48da1d14d995f0bbf960fce6cb5ffde62890079861be57638717
7131ced835ed65cc743d9777f2ea71a8e32c7e593cf66794343565
b41bcf56929486b8bcdac33d50ecf773996052598f1f556defffbd
982fbe71e93df6b6346c37a3890f3c7edc65d7f5455470d13d1190
6e6fb824bcf25f155547b5fc41901ad58c0992f570be1cf5608ba9
aef69d48c864bcd72d15163897773d314187f6a9af350808719796
 
Back
Top Bottom