Msaada kuweka applications za TV kwenye Hisense android tv

Mel James

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
344
241
Habari wakuu,

Nataka kuweka Azam Max mobdro na apps nyingine zenye akili cha ajabu.

Naambiwa google play kwenye hii device haiwezi kudownload kama kuna njia nyingine.

Naombeni msaada.
 
TV model gani exactly model namba e.g. Hisense 32A4H inakuwaga imebandikwa nyuma ya TV kwa kawaida.
 
Hiv naeza tumia njia gan kupata saut kwenye Radio kutoka kwenye Tv yangu maana TV haina AV output. Ina HDMI tu, na Optical. Naombeni ushaur wataalam. Ninunue kifaa gan
 
Hiv naeza tumia njia gan kupata saut kwenye Radio kutoka kwenye Tv yangu maana TV haina AV output. Ina HDMI tu
1: Tumia hizi cable kisha unganisha kwenye tv yako kuna tundu la kutumia earphone. Kama sijakosea linaitwa rca

download (3).jpg

2: Tumia hizi cable:

images.jpg

Ushauri: Mawaya waya (cable) zimepitwa na wakati. Kuna wireless sound za bei nafuu.
Sound bar na home theatre zisizo tumia cable.
 
Habari wakuu,

Nataka kuweka Azam Max mobdro na apps nyingine zenye akili cha ajabu.

Naambiwa google play kwenye hii device haiwezi kudownload kama kuna njia nyingine.

Naombeni msaada.
Pole mabdro na azam max huwezi ziingiza kwa tv yako zitakugomea nilishajaribu....but kuna uzi upo humu nishatoa hatua rahisi za kutuma apk kwenye tv yako
 
Nadhani tatizo ni kwamba Azam hawajatoabApp yao kwa ajili ya Android TV ila kwa Android za simu tu, kwanhiyo inabidi usideload apk yao uone kama itafanya kazi.
 
Nadhani tatizo ni kwamba Azam hawajatoabApp yao kwa ajili ya Android TV ila kwa Android za simu tu, kwanhiyo inabidi usideload apk yao uone kama itafanya kazi.
Haifanyi kazi mkuu...nishajaribu labda atumie mouse tooggle...ili kuzom na kubadili channel
 
Back
Top Bottom