Account facebook kuwa hacked na kubadilishwa password

free one

Member
Mar 26, 2017
14
8
Kuna rafiki yangu anasema account yake ya facebook wameibadili password na email aliyotumia kufungulia...ila anasema wahuni walianza kuingia na kupost vitu vya ajabu hapo awali kabla hawajambadilishia hizo taarifa zake.

Anaomba msaada namna ya kurudisha account yake kwani alishaizoea na ina watu wake wa muhimu sana
 
Angechukua tahadhari baada ya kuona muenendo tofauti kwenye account yake.

Kama anakumbuka namba ya simu aliyotumia wakati wa kutengeneza account yake tuwasiliane kumsaidia.
 
Muda mwingine ni uzembe tu wa watu?Wala sio mara zote wanakua hacked
HOW?unakuta mtu anaazima laptop ya mtu au kaenda internet cafe,baadhi ya browser mfano firefox ina option ya kusave password for future use,
sasa kama ume log in facebook,na uka log in ktk email yako uliyotumia kusajili facebook?nikipata hizo taarifa zako nina uwezo wa kubadili password ya fb na email yako.
 
Back
Top Bottom