Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Elfu 5, Yes! wala sijakosea ni 5,000. Nimeenda sehemu namkuta graduate wa computer science anapiga window kwa elf 5, like seriously guys? Mtu kasoma chuo kwa mamilioni halafu atoe huduma kwa...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Apple imetangaza kuwa mfumo wa uendeshaji wa iOS 17 utapatikana kwenye simu za iPhone XS na kuendelea kumaanisha kwamba usaidizi umeondolewa kwa iPhone 8, iPhone 8 Plus, na iPhone X...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nilikuwa Naomba mnifundishe jinsi ya kutengeneza hat file
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna baadhi yetu tunapenda kujaribu operating system tofauti kwenye android zetu, si kila mtu mwenye uwezo wa kumiliki iphone, au kupata kila model ya simu, mfano mtu ana android version...
2 Reactions
27 Replies
8K Views
Yani toleo jipya la iphone lilozinduliwa usiku wa Afrika Mashariki tarehe 12 mwezi wa 9 sijaona la maana zaidi ya kueleza ubora wa kamera tu. Simu nyingi zinapoteza soko zikidili na kamera tu
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Solar panel ya 100watts yenye cells 36 huwa inakuwa na voltage ya 18volts(Vmp) na current ya 5.55Amps (Imp).ila formula ya power ni sawa na kuchukua Vmp × Imp ambapo 18v × 5.55=100watts. Kwahiyo...
16 Reactions
33 Replies
37K Views
Nilinunua flash drive Ali express ya 64 GB iliandkwa usb 2.0 Alafu Nika nunua tena flash drive ya Lenovo 256 GB hii iliandkwa usb 3.0 Pia nilinunua OTG ambayo ilikua na sehemu ya (adapter...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Ukiachana na hizi social network za kimataifa za FB, IG na Twitter hakuna social network local, Ukiachana na jamii forum ambayo ni forum, hakuna nyingine yenye hata kujikongoja, Licha ya...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni vijana wa chuoni waliofunga vyuo na kwa sasa tupo nao, Wapo wanaosoma computer engineering, computer science, IT, ICT , n.k Ni vijana ambao mdomoni wapo vema sana kwa kujaa misamiati ila kwa...
16 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za leo wakuu. Nimejaribu kutafuta hiyo television kwenye maduka mbalimbali kwa Dar es Salaam na sijafanikiwa. Nyingi ambazo nimeziona ni LG QNED80, ila ninahitaji model ya namba 85...
0 Reactions
13 Replies
993 Views
Wanasema Dunia na maajabu yake hivi unajua Kuna watu wanauza maeneo mwezini. Baada ya mafanikio ya chombo Cha chandryaan 3 kufika mwezini Sasa zamu ya mwanadamu. [emoji189] Kuna ripoti inasamba...
1 Reactions
4 Replies
956 Views
Wakuu kwema? Tatizo la subwoofer kuvibrate na kutikisa nyuma linasoviwaje? Unaweza kuta unasikiliza vizuri tu, baada ya muda inatokea bass Fulani,ambayo inatikisa nyumba
4 Reactions
8 Replies
732 Views
jamani naomba mwenye ujuzi anisaidie, nina dish la dstv nataka nilitumie pamoja na receiver ya mediacom...nifanyaje kupata mawasiliano?
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Hivi karibuni, kampuni kubwa ya mawasiliano na teknolojia ya China, Huawei, ilifanya mauzo ya awali ya simu yake mpya ya kisasa (smartphone) aina ya Huawei Mate 60 Pro, hatua iliyozusha mjadala...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jana Apple wamezindua next generation ya iPhone na Apple Watches. Moja ya vitu nilivyopenda zaidi ni kuona wamefikia kwenye kutengeneza Carbon Neutral devices. Na kutumia material imara zaidi...
0 Reactions
1 Replies
498 Views
Wadau kati ya hizi simu ipi bora zaidi, nataka kununua moja. Tecno R7 LTE vs Itel T20 LTE zote zinauzwa TIGO shop. NB: Napenda ambayo haitokuwa inanibana napotaka apps mbalimbali ziwe zinakubali...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Yaani siku hizi ukienda madukani simu nyingi sana za kisasa (smartphones) huwa ni kubwa kwa umbo, yani urefu tu ni kama mkebe na hii ni kero kwangu, binafsi napendelea zaidi simu ambazo zinakaa...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Wadau,naombeni msaada kujuzwa namna ya ku-add mziki uupendao instagram pindi unapotaka kupost insta feed au story.miziki niitakayo mfano ya kibongo kwenye search box yao haipo,natanguliza shukran
0 Reactions
1 Replies
419 Views
Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti. Nilimpa fundi anifanyie installation ya...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
WASOMI WA MAMBO YA UMEME NAOMBENI MNISAIDIE: Ninataka kuweka umeme wa solar nyumbani kijijini, fundi wangu amenishauri kuwa niweke Solar pannel mbili za watt 100 kila moja jumla ziwe watt 200 na...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Back
Top Bottom