Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 970
- 1,461
DAWASCO ni kwa wtu wa Dar Es Salaam mikoa mingine inaweza kuwa na jina jingine....
Je unajua kama huduma ya maji ya DAWASCO ina weza kukuzalishia umeme Bila kuvunja sheria...?
Hii hasa itakua bahati kwa wale ambao wanakaa maeneo ambao maji Dawasco yana kasi...
KANUNI...
Kinachofanyika unaomba kuungwa na bomba la maji ya DAWASCO na wakati wa kuungwa hakikisha unaungwa kwa kutumia mpira wa maji wa nch 2 au zaidi ili uwe na maji yenye pace na presha kubwa..
Kitakacho kupa umeme ni nguvu ya msukumo wa maji inayotokana na kasi na msukumo wa maji kutoka moja kwa moja katika TANK la maji la DAWASCO ambako wao wanatumia Kanuni ya msukumo ya mtelemko au wanatumia mota za umeme kusukuma maji.
.....(Watu wa phyisics wanaweza elezea hili)
Kwa mteja Kama una TANK lako la maji ambalo unalijaza kwa mfano kwa dakika 30..sasa lijaze kwa hata masaa matano au sita...Kupitia nguvu ya moja kwa moja ya DAWASCO...(Hakikisha hapa maji yanapanda au kwenda yenyewe katika TANK.)bila wewe kutumia motor ya ziada..
Nguvu inayojaza maji katika Tank kwa maana hii itakua inatoka DAWASCO...moja kwa moja
Ile resistance ya kupeleka maji taratibu taratibu badala ya kutumia KOKI kupunguza kasi ya maji wewe unafunga machenichal rotor inakayo geuza iyo resistance kuwa POWER...
KUPATA UMEME
Kati ya bomba yako na kati ya TANK unaweka mfumo ambao maji yanavyopita yanakua yakisukuma (machenical rotor) ambayo imeungwa katika Generator...
Wakati maji yanaenda katika Tank Ile presha yake itatumika kuendesha rotor...japo kikanuni utatumia muda mwingi kujaza Tank ila utakua umevuna pia ile nguvu ya maji na kuzalisha umeme....Bila kuvunja Sheria yoyote ya DAWASCO...
UKumbuke Dawasco wao hawakulipishi kwa nguvu inayotumika kukuletea maji mteja...Wanakulipisha kwa liters za maji...
Kama una akili Vuna hizo nguvu ambapo wao DAWASCO wanazizalisha kwa Majenerator au Gravitation force...
Kama kuna ubishani naomba watu wa physics na watu wa machenical energy walipinge hili Asante..
Transinstor...