Ni speaker gani nzuri kwa ajili ya matumizi ya kwenye pub na lounge?

cannavaro

Member
Dec 1, 2020
83
115
Salam wakuu,

Poleni na mihangaiko ya kila siku. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Naomba kujua speaker nzuri inayotoa mziki mzuri ambayo itafaa katika matumizi ya pub au lounge. Naomba pia kujua bajeti yake. Asante
 
Tafuta chuma hiki kutoka Sony - LBT-SH2000, angalizo wazee wa desibeli hawapendi hizi
images - 2023-09-07T180547.941.jpeg
 
settup ya muziki hutegemea zaidi eneo la kupigia
je eneo lako linaukubwa gani
je lipo extended au ni eneo moja kama ukumbi
je eneo hilo lina sehemu ya watu kulala?
twende pamoja
1 ikiwa utahitaji mziki mkubwa wa kusikika mbali na mzito basi PA sound systeam inakuita
na kama sio ile ya full settup basi itakubidi ununue power mixser na stand speaker 2 pamoja na bass moja
nb ukubwa wa spika au wingi itategemea na wewe unataka nini
2 ikiwa eneo hilo lina sehemu ya watu kupumzika basi sioni kama PA inakufaa
zaidi itakubidi uwe na muziki ambao sio mkubwa wa kelele ila wenye kusikika
3 ikiwa eneo lako liko extended na pa utulivu basi itakutaka uwe na mziki ambao una spika ndogo ila nyingi
 
Mimi ni mlevi wa muziki mzuri, kwasasa ninahitaji kununua nitakucheki kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom