Anahitajika CRM Developer (Ya Kiswahili).

Makirita Amani

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
1,781
3,074
Natafuta mtu anayeweza kutengenezea CRM ya kiswahili.
Iwe web based na app.
Iwe nyepesi na inayoweza kuload haraka hata kwa internet isiyo strong.
Hosting na kila kitu inakuwa kwenye servers zetu wenyewe.
Parameters tayari zipo ni ku customize na kuifanya kuwa rahisi kutumia.
Tayari tumekuwa tunaitumia kwenye excel na inafanya vizuri, ila kuwa kwenye excel siyo rahisi kwa matumizi kwa wengi, hasa ukizingatia watu wengi wanatumia mobile devices.
Nimeambatanisha excel file hapo chini yenye parameters za hiyo crm.
Kama unaweza kuifanya kazi tengeneza kwanza prototype na unitumie kwenye email crm@mauzo.tz kisha tutaanzia hapo.
Anza na prototype kabla hatujaendelea na mengine.
Mawasiliano yote yafanyike kwa email; crm@mauzo.tz
Karibu.
 
Attachments

  • MFUMO WA KUFUATILIA WATEJA WA CHUO CHA MAUZO.xlsx
    26.3 KB · Views: 6
Mna host kwenye servers zenu? yani inakuwa offline ama?. Naomba unieleweshe kwenye hili.

Kama ni mfumo wa online, je kuna requirements za utengenezaji mfumo?, Mfano: database fulani, framework fulani, etc.

Au developer yuko huru kutengeneza huo mfumo kwa njia yoyote ilimradi ufanye kazi vizuri.

Natanguliza Shukrani.
 
Fanya hivyo mkuu.
Hii ni kazi ya uhakika.
Na siyo mara ya kwanza kufanya.
Karibu.
Nilichokosoa ni uliposema mtu kufanya tu prototyping bila makubaliano yoyote. Ukiwa umeweka makubaliano clear inakuwa ni uhakika na usalama zaidi kwa pande zote mbili

Nimekucheki PM Mkuu, Karibu tukuhudumie kwa uhakika zaidi

system_dev_service.png
 
View attachment 2739603
Mkuu,
Nimefanya kazi na developers kadhaa na kwa bahati mbaya nimekuwa napata usumbufu sana.
Ndiyo maana nimeliweka wazi hapa, kwa aliye serious aje na kitu chochote functional kwa hizo sheets nimeweka hapa.
Hiyo prototype inakuwa yako, sitai own in any way, nataka niweze ku access kama user kwanza na nikiridhika tunaenda kwenye makubaliano na kazi inaendelea.
Do anything which can work and show me what I am going to get halafu tuendelee kuanzia hapo.
Napima mengi kwenye hilo, na kila kitu kitakwenda fairly kabisa.
Usihangaike na PM, fanya prototype kisha tuwasiliane kwa email; crm@mauzo.tz
Kama itafaa kwa upande wako karibu.
Kama haitafaa basi achana nayo.
Asante.
 
Pole sana kwa huo usumbufu chief.

Nimeona baadhi ya projects ambazo nadhani ni zako. I'll try to convince you to work with my company so expect our prototype in 3 days. Thanks.
 
Na pia nina kazi nyingine za development ambazo zimekwama kwa sababu ya developers kushindwa kufikia requirements zilizohitajika.
Mfano nina hii app ya kuuza na kusoma vitabu.
Developer alifanya kazi yake vizuri, ila ilipofika kwenye automatic confirmation baada ya payment ikashindikana.
Hivyo ikabidi kufanya manually, kitu ambafho kinaondoa the whole point ya kuwa na software.
Mwenye interest anaweza kuichek app hapa; Soma Vitabu - Apps on Google Play
Japo haijawa updated.
So atakayeweza hiyo project ya crm kama ataweza na hii ya vitabu tutafanya pia.
Maana nimeandika zaidi ya vitabu 20 na vingine navifanya kuwa audio books.
So nahitaji distribution system nzuri maana zilizopo zina baadhi ya changamoto.
Nimeeleza mengi, lakini nataka mtu apate seriousness ya hii project na a take risk ya kushow something before we proceed.
Asanteni.
 
Pole sana kwa huo usumbufu chief.

Nimeona baadhi ya projects ambazo nadhani ni zako. I'll try to convince you to work with my company so expect our prototype in 3 days. Thanks.
Asante mkuu kama umeelewa.
Nina projects nyingi sana, lakini sijawahi kupata developer mwenye work ethic ambayo ina match kile ninachotaka.
So show what you've got, don't tell.
So we are counting down, to friday 8th september.
And lets be very fair, point yetu ya kwanza ni kupata prototype by friday tarehe 08. So ikipita hiyo hujaleta tunakuwa tumeishia hapo.
Kwa sababu moja ya vitu vimekuwa vinanidisapoint kwenye hizi projects ni muda.
Nimewahi kuahidiwa project wiki 8 ikachukua mwaka, ya mwaka ikachukua miaka 2.
Karibu sana.
 
Done!

Made from scratch in 1 day using ReactJS, PHP (pure) and MySQL.

Simple, Clear, Responsive and Network Efficient. You can try on Mobile, Tablet and Desktop. Can Easily be converted into a Mobile App.

Info zaidi, Access pamoja na link ya source code nimekutumia kwenye email address ulioitoa.
Nimeamua kukutumia na source code sababu idea nzima ni yako na sisi tumepita humohumo. Isitoshe tunazo custom CRMs kadhaa sababu wateja/makampuni mengi yanakuja na ideas zao kama ulivyotoa wewe hapa, nyingine 'too far advanced' then sisi tunaandika tu Code. I just hope you will be fair as you said earlier.

Thanks & Welcome.

Screenshots

Screenshot 2023-09-06 at 16-43-20 MAUZO CRM.png

Screenshot 2023-09-06 at 16-43-07 MAUZO CRM.png

Screenshot 2023-09-06 at 16-42-44 MAUZO CRM.png

Screenshot 2023-09-06 at 16-42-23 MAUZO CRM.png

Screenshot 2023-09-06 at 16-42-11 MAUZO CRM.png

Project Flow, Progress & Milestone

Screenshot 2023-09-06 at 16-23-16 Milestones - Werenium_mauzo-crm.png
 
Done!

Made from scratch in 1 day using ReactJS, PHP (pure) and MySQL.

Simple, Clear, Responsive and Network Efficient. You can try on Mobile, Tablet and Desktop. Can Easily be converted into a Mobile App.

Info zaidi, Access pamoja na link ya source code nimekutumia kwenye email address ulioitoa.
Nimeamua kukutumia na source code sababu idea nzima ni yako na sisi tumepita humohumo. Isitoshe tunazo custom CRMs kadhaa sababu wateja/makampuni mengi yanakuja na ideas zao kama ulivyotoa wewe hapa, nyingine 'too far advanced' then sisi tunaandika tu Code. I just hope you will be fair as you said earlier.

Thanks & Welcome.

Screenshots

View attachment 2741054

View attachment 2741055

View attachment 2741056

View attachment 2741057

View attachment 2741058

Project Flow, Progress & Milestone

View attachment 2741047
Mkuu,
Kwanza nikupongeze sana kwa work ethic ya hali ya juu sana uliyoweza kuionyesha hapa.
Nimepokea kwenye email kama nilivyoelekeza.
Kama mambo yataenda kama ulivyoahidi, basi naamini nitapata matokeo bora ambayo kwa muda mrefu nimekuwa nakwama.
Hivyo basi naomba nieleze kwa wengine hapa tutaenda na wewe kwenye hii project.
Na kama kutakuwa na mabadiliko yoyote nitashirikisha hapa.
Asanteni sana wote kwa ushirikiano kwenye hili.
 
Back
Top Bottom