Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naombeni msaada natumia hp notebook 15 generation ya 6 je na weza kujua kama laptop yangu ina sim card slot au haina?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu kwa anaejua tushare ni software ipi ambayo inaweza ku unlock password katika simu za batan (itel, tecno)
1 Reactions
4 Replies
11K Views
Makala hii itakusaidia kuweza kuondoa pattern ama password (nywila) uliyosahau katika simu yako (Android), zipo njia nyingi kutegemea na aina ya simu au toleo la Android ambalo simu yako inatumia...
4 Reactions
20 Replies
21K Views
Nina simu yangu ya batani Itel t5020, nimesahau Password yake, nifanye trick gani ili ifunguke? Nimejarubu kuingia YouTube ila sijafanikiwa kupata ufumbuzi wa tatizp langu
0 Reactions
17 Replies
52K Views
Habari, Nina sumsung A32 5g inaandikwa kt network Ukiweka SIM card ya tigo inaandika Limited service Haikubali kusoma line za bongo Kwa mafundi software na hardware nipeni solution
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana Home of Great Thinkers, Nimedondosha Mashine ninayotumia HP probook 440 G2 imevunja Case yake upande wa Kioo. Mwenye Housing /case ya mashine hio tuwasiliane nataka kununua.
0 Reactions
1 Replies
525 Views
Habari za muda huu wadau, Nauliza kwenu hivi naweza kupata wapi vifaa vya kutengeneza ''Mini Tv cable"..Yani nakua na visimbuzi vitatu Azam,DSTv na startimes halafu na vicombine chanell zake...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Za asubuhi wanaJF. Leo ikiwa ni Jumanne tulivu, wanaJF wakitokea kwenye weekend ndefu kuanzia Jumamosi. Ninaanza kwa swali kama kichwa kinavyosema, Je unaifahamu CANVA? Share designs...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
𝗩𝗼𝗱𝗮𝗰𝗼𝗺 𝗷𝘂𝘂 𝘆𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝗸𝘂𝘁𝗮𝗽𝗲𝗹𝗶𝘄𝗮 𝗺𝗶𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼𝗻𝗶 Jana Kwenye mtandao wa jamii forums kupitia mkurugenzi wa udhibiti wa hatari na utii wa sheria waliweza kuzungumza juu ya watu wanavyoweza kutambua...
0 Reactions
0 Replies
374 Views
Naomba account ya Spycom,Ninatumia decoda Aina ya Xmaster,Mwenye kingamuzi aina hii anisaidie, Number yangu ni 0713451545
0 Reactions
2 Replies
832 Views
wana jf wenzangu habari za leo naomba kama kuna mtu yeyote ambaye anamiliki receiver ya XMASTER MIN HD iliyokufa a.k.a mbovu naomba aniuzie tuwasiliane kwa whasaph no 0684 061188.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wakuu. Naombeni pendekezo la TV nzuri ( specification na model)nayoweza kupata kwa bajeti hiyo hapo. Vigezo ni ubora wa picha na smart features. Chief-Mkwawa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huwa napenda sana kucheza game ya mpira kwenye playstation, x box na pc kwasababu mambo ni chap chap, ukiwasha game waweza kuchagua timu unayotaka unazama uwanjani kulisakata kabumbu. Kwenye game...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama tunavojua apple wanapotoa toleo jipya la simu mfano iphone 15 pia hutoa na software mpya? Sasa hii hapa nakusogezea ili utambue. Apple wameamua kuacha kuzipa updates simu hizi baada ya...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Hard disk langu lilikuwa 3Tb sijui wakati wa kuformat nimebonyeza wapi limebaki 746Gb . Naombeni mwenye ujuzi anisaidie jinsi ya kuurudisha volume yake halisi
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu natumaini salama Naomba kama kuna member anataka kuuza account ya dstv now anione pm. Nahitaji kutumia ktk simu - please sitaki iptv za dstv
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukiachana na serverless backend kama Firebase, Supabase, etc. Ni Framework gani inamfanya developer awe productive zaidi kati ya Laravel na Django? Binafsi, huwa natumia Node js kufanya backend...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu naombeni ushauri wenu na mwongozo kutoka kwenu, Nilikua naangalia baadhi ya coz nazo weza kujifunza online nikavutiwa na Mambo ya Coding japo kua Sina knowledge yoyote kuhusu computer...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari, Kwenu watalaamu, naomba kufahamishwa ni chemical gani ninaweza kutumia ili kutafanya maji ya bombani (dawsco) yawe matamu kama yanayosambazwa na chupa..mfano Hill water, masafi...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nataka nianzishe mradi wangu wa ku-flash simu za aina zote. Ni computer ya aina gani inaweza kuwa mzuri kwa kazi hii. Iwe na specifications za aina gani?
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom