Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mafundi simu
0 Reactions
5 Replies
592 Views
Hongereni kwa kazi! ndugu wajumbe ninakero ambayo imeendelea kunikera siku hadi siku. Ni mtumiaji wa simu ya samsung na kwa kipindi hiki cha hivi karibuni kumejitokeza hali ya kuzuka kwa...
0 Reactions
6 Replies
618 Views
Wndugu wapendwa naomba sana msaada maana nimechanganyikiwa, nilikuwa na install application kutoka cydia, ikakubali kuingia sasa kila nikitaka kurestart springboard inakatakaa kurestart na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wakuu hrshima kwenu Nipo dodoma kikazi, ila nahitaji nichukue laptop kwa ajili ya shughuli zangu sasa jana nikaamua kunyosha tu miguu natembea with no direction, dodoma sio mwenyeji kabisa...
0 Reactions
2 Replies
511 Views
Jengo la startups za IT eti linajengea dodoma, kwa upande wangu naona sio sawa. Kama arusha ndo kitovu cha utali, ikitokea wadau watech wakija kutalii ingekua rahisi wao kwenda mara moja kwenye...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Je ninaweza kutumia Daraja API ya Safaricom kufanya malipo ya M-pesa Tanzania kwa kutumia laini ya vodacom, Nataka kutumia technologia yao ya stk push
1 Reactions
4 Replies
948 Views
Habari zanu wana JF. Leo naomba niwatambulishe application mpya ya kizawa inakuja kuleta mapinduzi makubwa kwenye mambo ya kupeana zawadi. Hivi ushawahi kufikiria baada ya kuhangaika kariakoo...
4 Reactions
1 Replies
477 Views
Kuna wimbi la wa Tanzania(wasio na proffesional ya IT) kubeza wale wenye professional hiyo kuwa hawana lolote ni wa burn cd, wapiga window na wa install anti virus. Lakini ukimuuliza kuna Startup...
1 Reactions
7 Replies
473 Views
Natumia iphone 7plus Kuna baadhi ya Apps kwenye simu yangu zimeanza kugoma kufanya kazi zikinihitaji ni update kwenda ios 16/17 version nimeingia sehemu ya ku update hamna option ya ios 16 wala...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Nikili kuwa mimi ni mkeleketwa ama mdau mkubwa sana wa IT na teknolojia kwa ujumla Leo nimekabiliana na mdau mmoja akikandia sana tasnia hii hasa hapa nchini kwa madai kuwa hakuna wataalamu na...
2 Reactions
79 Replies
14K Views
Habari za asubuhi wandungu natumaini mumeamka salama salmini Leo asubuhi wakati nawasha laptop yangu kwanza baada ya Kutumia kama dk 5 ikaleta mistari na chenga kwenye skrini Badala ya hapo...
0 Reactions
4 Replies
607 Views
Habari ndugu zangu naomba ku uliza nime download app ambayo haipo play tore lakini shida nikitaka kuinstall ina kataa na andikiwa haya maneno package installer has stopped je nifanye nini hili...
0 Reactions
9 Replies
686 Views
Wakuu Simu ya bi mkubwa inaandika ivi, itakuwa tatizo nini?
0 Reactions
1 Replies
599 Views
Habarini wanajamvi, nina simu BASIO KYV43 ambayo nilikuwa nahitaji kuiflash. Kwa bahati mbaya nimeenda kwa mafundi wawili wamehangaika mwisho wakashindwa. Kama kuna fundi (Dar es Salaam) anaweza...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu... Nimekuwa interested na hiyo simu tajwa hapo (Samsung a23 iwe na na 6gb RAM na memory ya 64gb). Kwa anaejua gharama yake anijulishe... kuna mtu nilimuuliza akasema zimekuwa adimu...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari, mwenye kujua kampuni kongwe inayohusika na usafirishaji mizigo kutoka Uk ilionunuliwa kupitia ebay au amazon ama duka lolote, nitashukuru kwa msaada
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanza ninawashukuru wote mlionishauri kubadili king'amuzi baada ya kile cha zuku kuwa kinaniandikia no signal kila siku hasa mawingu yanapotanda!Nilihamia huku kwa Azam! Sasa baada ya kukizoea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamaa mmoja toka nchi ya Australia alinusulika kufa baada ya simu aliyokuwa nayo aina ya Google pixel 4xl kumuokoa maisha yake baada ya kupata ajali akiwa pekee yake. Anaitwa chuck Walker anasema...
1 Reactions
5 Replies
831 Views
Naomba kujuzwa Application inayoweza kuniwezeaha kubadili picha ya kawaida na kuwa passport size
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji msaada nataka niwe na simu ya pili naona hii Samsung note 10 + imechoka Reuben Challe Chief-Mkwawa
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom