AMD vs INTEL

AMD vs INTEL

Holly Star

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Posts
4,373
Reaction score
8,280
wakuu hrshima kwenu
Nipo dodoma kikazi, ila nahitaji nichukue laptop kwa ajili ya shughuli zangu sasa jana nikaamua kunyosha tu miguu natembea with no direction, dodoma sio mwenyeji kabisa.
Akilini mwangu nlikuwa natembea angalau nipate maduka yanayouza laptops, nikiwa jirani na ofisi za ccm makao makuu nikaona duka la laptops ndo nikaingia kujua bei.
Mashine zote za intel bei ni kubwa kuliko AMD.
Ninachotaka kujua AMDzina ubora wa chini ukilinganisha na INTEL?

Intel zipo bei juu kuliko hata MAC maana nliuliza MAC. Sijawahi kutumia MAC japo huwa natamani napenda mwonekanonwake ila keyboard zake sizipendi.
Kindine nahitaji mashine inayokaa na umeme angalau 6hours na kuendelea kwa hapa naona kuna lenovo ndo zipo vizuri zaidi. Bajeti yangu laki7
 
Nina siku ya leo na kesho tu j5 naondoka.
 
kwa budget ya laki 7 tena dodoma, kimbia kabisa hizo AMD ni zile AMD mbovu sana kina A5 kama sijakosea.
Halafu hujasema ni laptop kwa ajili ya nini.
 
Back
Top Bottom