Keyshia
Member
- Feb 24, 2011
- 63
- 31
Wndugu wapendwa naomba sana msaada maana nimechanganyikiwa, nilikuwa na install application kutoka cydia, ikakubali kuingia sasa kila nikitaka kurestart springboard inakatakaa kurestart na application zote zimecrash cwezi fanya chochote naomba msaada tafadhali irudi kama kawaida!