Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kwenye paa langu kuna maeneo linavujisha maji je ni njia ipi mzuri ya kuweka mambo sawa. Mafundi mnisaidie tafadhali na sina uwezo wa kubadili bati kwasasa hata kipande kimoja. Je nini nifanye...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Habari za jioni wakuu, Nimenunua simu kwa MTU kwa bahati mbaya nmejaribu kuaccess internet imegoma kabisa vile vimishale vya internet vinaonekana lakin akuna kitu simu ni Nokia G10. Naombeni...
0 Reactions
2 Replies
444 Views
Wakuu poleni na majukumu! Moja kwa moja naomba msaada kuunganishwa na mafundi wanaodeal na Simu na Computer jijini Mwanza, ili niweze kujishikiza maana life limenikaba au kama kuna mtu anaweza...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Mkuu The bump Tunaomba utoe ufafanuzi wa vifuatavyo SSD ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini? Cloud storage ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini? Virtual storage ni...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakubwa shida itakua ni nini humu kwenye hii laptop angali hii picha
0 Reactions
2 Replies
465 Views
TCRA kupitia kitengo chao cha ulinzi wa kompyuta wa dharura, TZ-CERT imeleta shindano kwa wanavyuo wachukuao masomo ya teknolojia ambalo litawafanya wanafunzi kuweza kudukua taarifa na kujilinda...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
GIL ilikua ina tulimit sama ku apply parallelism bila ya msaada wa third-part library. Asubuhi hii nimekua na furaha kuskia sasa ni rasmi cpython core developers wameamua rasmi kuachana/kuwa...
3 Reactions
1 Replies
729 Views
Kampuni ya Honor kwenye toleo jipya la simu aina ya magic 6 ambayo inatajiwa kuachiwa mwakani ndani yake kuna mambo mengi ya kushangaza ambayo ukifanikiwa kuipata hiyo simu utaweza ku enjoy...
1 Reactions
1 Replies
881 Views
Habarini. Nahitaj msaada wa haraka kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kulipia bidhaa alibaba hatua na taratibu na kujiridhisha kuwa pesa yang itakuwa salama pasipo utapeli.ahsanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimewasha computer yangu yangu ni desktop aina ya dell Lakini inaniletea ujumbe huu shida Nini hapa wadau na nasolve aje ? Maana kisukari kishapanda hapa
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Habarini wanaJf Ni simu hizi za Vodafone sikU nne zilizopita iliflashiwa baada ya kuflashiwa ukiiwasha Tu inadosplay ujaze google account na haiendelei zaidi ya hapo na ukihaza google account...
0 Reactions
30 Replies
11K Views
Elon Musk ameachia kitu chenye real time info zikitoka direct from X (FKA Twitter). What is your views?
3 Reactions
7 Replies
780 Views
MATAPELI WANAOJIFANYA WAZUNGU Naeza toa Elimu kidogo kuhusu hizi mambo jinsi utakavyo lizwa na hawa wazungu wa Nigeria Kenya na UDSM &UDOM Wameingia sahivi😂😂😂😂 Hawa matapeli wanakuingiza chaka...
9 Reactions
12 Replies
2K Views
Kampuni ya apple kwenye vifaa vyao huwq hawatoi warranty kwenye bidhaa zao ikitokea imemwagiwa na maji au kimiminika chochote kwenye vifaa vyao vya iphone, ipad,Air pods, apple watch nk japo hivyo...
1 Reactions
6 Replies
749 Views
Sources: https://www.youtube.com/watch?v=a4aboTbQZ5Y&pp=ygUSbWNodW5nYWppIG1hZ2hlbWJl https://www.space.com/pluto-atmosphere-may-be-disappearing Pluto's atmosphere is starting to disappear...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
TENGENEZA BACK-UP YAKO YA UMEME WEWE MWENYEWE NYUMBANI KWA KUUNDA INVERTER. Jambo la msingi katika uundaji wa inveter ni kubadili voltage kidogo ya umeme wa battery (Umeme wa battery...
5 Reactions
25 Replies
43K Views
Wengi wa wanaoshiriki ni wahindi nilijoin kwa kuwa tulitakiwa kuunda vikundi vya watu watano baada ya kuanza hatua za kwanza baadae tuliungwa kwenye group la what'sapp wote lakini huko walikuja na...
0 Reactions
2 Replies
314 Views
Habarini wakuu wa tech Tanzania, Kulingana na nilivyouliza swali hapo juu kwa yule mwenye uzoefu aliyekwisha wahi kukutana na kadhia kama hiyo.
2 Reactions
0 Replies
366 Views
𝗦𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗮 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗸𝘂𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝘄𝗮 𝗜𝗻𝗱𝗶𝗮 Makamu raisi wa kampuni ya Google Mr Rick Osterloh amesema kampuni yao ya Google muda sio mrefu wataweza kufungua kampuni ya kutengeneza simu na vifaa mbalimbali...
3 Reactions
12 Replies
821 Views
Kuna file nimelifungua ghafla desktop screen imefuta app na shortcut zote then ikaleta makorokocho Aya kama unavyoona
1 Reactions
20 Replies
988 Views
Back
Top Bottom