Hivi kweli kuna wataalamu wa IT Tanzania?

Mwanambee

Member
Dec 26, 2015
85
125
Nikili kuwa mimi ni mkeleketwa ama mdau mkubwa sana wa IT na teknolojia kwa ujumla

Leo nimekabiliana na mdau mmoja akikandia sana tasnia hii hasa hapa nchini kwa madai kuwa hakuna wataalamu na mifumo mingi hata ya serikali kama vile ule wa malipo umeundwa na wazungu je ni kweli? Kama ipo mifumo iliyoundwa na watanzania ni ipi hiyo na ni akina nani hao walioiunda
Naomba kuwasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mosabiy

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,505
2,000
Tupe vielelezo vya kazi hata tatu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Kazi za serikali sio mdau kivile. Mifumo ya CRDB.
Kuna ingine ni online busness manegement ambayo ilichukua tuzo ya kimataifa.sikumbuki jina lake
Kuna yule jamaa wa Havard aliyendikwa na forbes. Ingawa yeye si I.T ila alikuwa na timu ya best I.T alichukua tuzo ya kimataifa.
Kifupi I.T wapo ila kama ulisoma ukiwa na lengo hilo.
 
DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
22,848
2,000
Nikili kuwa mimi ni mkeleketwa ama mdau mkubwa sana wa IT na teknolojia kwa ujumla

Leo nimekabiliana na mdau mmoja akikandia sana tasnia hii hasa hapa nchini kwa madai kuwa hakuna wataalamu na mifumo mingi hata ya serikali kama vile ule wa malipo umeundwa na wazungu je ni kweli? Kama ipo mifumo iliyoundwa na watanzania ni ipi hiyo na ni akina nani hao walioiunda
Naomba kuwasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mifumo iliyoundwa na watz ni kama huo wa kubaini watu wanaotaka kujinyonga
 
Mwanambee

Member
Dec 26, 2015
85
125
Kwa Kazi za serikali sio mdau kivile. Mifumo ya CRDB.
Kuna ingine ni online busness manegement ambayo ilichukua tuzo ya kimataifa.sikumbuki jina lake
Kuna yule jamaa wa Havard aliyendikwa na forbes. Ingawa yeye si I.T ila alikuwa na timu ya best I.T alichukua tuzo ya kimataifa.
Kifupi I.T wapo ila kama ulisoma ukiwa na lengo hilo.
Kwa hiyo chief unataka kutueleza kuwa Mifumo ya CRDB Imeundwa na IT wa Tanzania ni nani hasa kuwa specific na mwenye details kidogo ili tujenge hoja nzito kwa wanaotuponda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom