Marcovicsavic
Senior Member
- Nov 14, 2020
- 130
- 298
Kuna wimbi la wa Tanzania(wasio na proffesional ya IT) kubeza wale wenye professional hiyo kuwa hawana lolote ni wa burn cd, wapiga window na wa install anti virus.
Lakini ukimuuliza kuna Startup yoyote hata ya huyo IT wa mchongo mwenye ndoto ya kuwa bora siku moja ame i sapoti ?, HAKUNA!
Wanachofanya ni ku dissapoint , ku disrespect na ku discourage ma IT na wenye ndoto za kua ma IT kwa kutowapa fulsa na kwa maneno yasio na rutuba masikioni!
Hao ni wananchi wenye thread kibao za kuponda ma IT.
Upande wa Serikali ndio unaweza kulia.
Kuanzia sera, hakuna mazingira wezeshi yenye kusapoti mawazo ya Tehama.
Kusajili wazo la tehama ni issue kuliko hata kupata tiketi ya kwenda mbinguni.
Kuna sheria kandamizi mnoo za hasa za online payments getaways eg paypal , flutterwave etc ambazo starup zinge fanyiwa urahisi kuzi verify basi kuna vijana wangekua na ajira zenye tija.
Serikali haina muda wa kutafuta namna ya kuwasilia ,kukutana na kujadiriana na vijana kuhusu mawazo ya Tehama , changamoto na way forwad.
Mwisho wa siku startup zina kwama zinafel kijana anaaona bora awe boda boda.
Wenye uwezo wanaenda kusahjiri na kurun mawazo yao mchi jirani kama kenya Rwanda, etc
Sijawahi kuelewa why?
Kwanini?
Ni kwamba viongozi hawaoni umuhimu wa kubusti hii sekta au nawao ndio wana sema hamna ma IT BONGO kma raia wao?
Wito
WATANZANIA TUJENGE UTARATIBU WA KUSAPOTI VITU NA WATU WETU REGARDLESS ! , HII YA KUPONDANA HAITU SAIDII , MBONA WAHASIBU , WANASHERIA , MADAKTARI NA WENGINEO VILAZA WAPO WENGI TU NA HAKUNA WANACHO FANYA NA HATUSEMI?
SERIKALI PIA ANDAENI SERA RAFIKI , TAFUTENI NAMNA YA KUWASILIANA NA SISI WALENGWA , HUWEZI KUJUA CHANGOTO ZETU KWA KUMUULIZA BENJAMIN FERNANDEZ !,
MWISHO
WABONGO TUPUNGIZE UJUAJI!