Msaada: Samsung yangu inaleta matangazo

chrisbleez

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
735
1,208
Hongereni kwa kazi! ndugu wajumbe ninakero ambayo imeendelea kunikera siku hadi siku.

Ni mtumiaji wa simu ya samsung na kwa kipindi hiki cha hivi karibuni kumejitokeza hali ya kuzuka kwa (ad's)sijui kama nitakuwa sahihi kwa kutumia jina hilo au nitumie neno matangazo wakati nikiwa naendelea kutumia huduma za internet(I stand to be corrected)

Hali hii imekuwa ni kero kubwa kwangu,yaani uko busy na kuangalia (jamiiforums) linakuja litangazo labda tuseme la mchezo wa karata au matangazo ya kubet na matangazo mengine mengi.

Naomba watundu wa simu wanielekeze ni wapi naweza fanya kitu nikaiyondoa hali hii ambayo kwangu imekuwa kero kubwa?!!!

Mbaka namaliza kuandika bandiko hili tayari kuna matangazo kama kumi hivi
 
Angalia apps zako ulizoongeza hivi karibuni. Apps za mpira ama za michezo ya kubahatisha ama michezo ya kwenye simu(games).

Hizo apps ndio hua zinaleta matangazo ya makubwa yanafunika screen yote.
 
Angalia apps zako ulizoongeza hivi karibuni. Apps za mpira ama za michezo ya kubahatisha ama michezo ya kwenye simu(games).

Hizo apps ndio hua zinaleta matangazo ya makubwa yanafunika screen yote.
Shukran mkuu nimegundua hili janga limekuwa likitukumba watu wengi humu na niseme tu nimefanikiwa kulitatua hili tatizo kwa kupitia wengine na sijui nilienda wapi lkn Sasa hivi siyaoni tena hayo matangazo
 
Back
Top Bottom