Msaada: Nawezaje update iphone 7plus iweze support iOS 16 au 17

Profesa wa Maliasili

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
632
1,893
Natumia iphone 7plus Kuna baadhi ya Apps kwenye simu yangu zimeanza kugoma kufanya kazi zikinihitaji ni update kwenda ios 16/17 version nimeingia sehemu ya ku update hamna option ya ios 16 wala iyo 17
Msaada wenu jf techs
 
Hauwezi labda ufanye manyanga, washapiga chini mpak iPhone X , no update
 
Natumia iphone 7plus Kuna baadhi ya Apps kwenye simu yangu zimeanza kugoma kufanya kazi zikinihitaji ni update kwenda ios 16/17 version nimeingia sehemu ya ku update hamna option ya ios 16 wala iyo 17
Msaada wenu jf techs
Nlitaka nishangae mjaluo na iPhone wapi na wapi
 
Nilikuwa sijamuelewa vizuri,

Kawaida yangu nanunua simu pale tu ambapo simu ninayoitumia imekufa au imepotea,nilishavuka hatua ya kwenda na fashion kwamba ni upgrade kutokana na toleo
Basi sio lazima upate hiyo ios 16 ww baki na famba hilo skuhizi tunawanunulia watoto wachezee chezew kabla hawajajua kitumia simu vizuri. Kiufupi ukitaka uishi vizuri nunua ka android kako ishi nako hayo ma iPhone yana mambo kibao leo imeachwa kwenye upgrade kesho zitazimwa kabisa
 
Nilikuwa sijamuelewa vizuri,

Kawaida yangu nanunua simu pale tu ambapo simu ninayoitumia imekufa au imepotea,nilishavuka hatua ya kwenda na fashion kwamba ni upgrade kutokana na toleo

Mchumba tafuta pesa kumbe hata aina za iPhone huzijui?
 
Nilikuwa sijamuelewa vizuri,

Kawaida yangu nanunua simu pale tu ambapo simu ninayoitumia imekufa au imepotea,nilishavuka hatua ya kwenda na fashion kwamba ni upgrade kutokana na toleo

Sasa kama ndio inakusumbua namna hiyo si ni kama imekufa tu?
 
Back
Top Bottom