Dell E5430 inachangamoto ya kuwaka msaada

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Jul 10, 2022
908
1,128
Habari za asubuhi wandungu natumaini mumeamka salama salmini

Leo asubuhi wakati nawasha laptop yangu kwanza baada ya Kutumia kama dk 5 ikaleta mistari na chenga kwenye skrini

Badala ya hapo ikazima Kabisa Kila nikiwasha inawaka taa ya betri na kuzima

Ukiwasha feni inaanza kurun zeni inazima mpaka muda huu sijajua shida ni nini maana Jana nimetumia vizuri na haijawahi kuleta changamoto kama hii

Model ni dell E5430 latitude

Msaada sana Hapa

Chief Mkwawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama inavyoonekana Kwa Picha taa ya betri na airplane ziko on

Ila ya betri inawaka na kuzima

Display haionyeshi chochote
PXL_20231105_070803473.MP.jpg
View attachment 2804364

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom