Anayejua gharama za Samsung A23

Anayejua gharama za Samsung A23

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
571
Reaction score
161
Habari wakuu...

Nimekuwa interested na hiyo simu tajwa hapo (Samsung a23 iwe na na 6gb RAM na memory ya 64gb). Kwa anaejua gharama yake anijulishe... kuna mtu nilimuuliza akasema zimekuwa adimu hazipatikani. Kuna ukweli wa hilo?

Nipo Dar.
 
zipo za kutosha sema uko mkoa gani,

Juzi tu kuna jamaa angu kaichukua A23 gb128 katoa 7+
 
Habari wakuu..
Nimekuwa interested na hiyo simu tajwa hapo(Samsung a23 iwe na na 6gb RAM na memory ya 64gb). Kwa anaejua gharama yake anijulishe...kuna mtu nilimuuliza akasema zimekuwa adimu hazipatikani. Kuna ukweli wa hilo?
Nipo Dar.
A23 haina thamani zaidi ya laki 5 mkuu,

Ipo A23 5G ambayo kidogo around laki 6 sio mbaya.

Pia kama unapata A14 5G ni simu nzuri zaidi, version ya Exynos 1330.
 
Kaka samahani kwa kukutoa nje ya mada.Kaka msaada wako please!Account yangu ya google inagoma ku-syncs contacts zangu mpaka ile option ya kusave kwenye account ya google kwenye contacts haipo.

Nimeenda google kwenye account yangu kwenye kipengele cha ku-syncs contacts inaandika "Sync is currently experiencing problems It will be back shortly."

Nimesoma maandiko mengi sana kutoka google juu ya namna ya kutatua tatizo kama vile kuruhusu permisions mbalimbali,kusaini out na kuja kusaini inn tena kwenye account ya google na kadhalika ila njia zote zimeshindikana.

Unaweza kuwa na lolote la kunisaidia kaka kwani mimi huwa sipendi kabisa ku-save namba za simu kwenye line au kwenye simu yangu bali napenda ku-save huko google ila ndo hivyo sasa hivi inanigomea.
20230262158.jpg
202302162231.jpg
 
View attachment 2511921View attachment 2511922
Mkuu error hapo ni kwamba haina permission. Umejaribu kwenda setting kisha apps kisha Contacts then kwenye permission iruhusu kusoma hizo contacts?

Alternative fungua app ya contact then nenda setting zake kisha kwenye kusave hakikisha Google account ni option mojawapo.

Aternative tumia 3rd party apps kusave hizo namba manual, unaweza pia kuzisave email tofauti tofauti.
 
Mkuu error hapo ni kwamba haina permission. Umejaribu kwenda setting kisha apps kisha Contacts then kwenye permission iruhusu kusoma hizo contacts?
Permission inaruhusu kusoma contacts mkuu
Alternative fungua app ya contact then nenda setting zake kisha kwenye kusave hakikisha Google account ni option mojawapo.
Wakati wa kusave hakuna option ya google account.Kuna option za line za simu pamoja na simu yenyewe basi.
Aternative tumia 3rd party apps kusave hizo namba manual,
Hizi 3rd party apps ni kama zipi mkuu?Na je hizi 3rd part apps zinaruhusu google syncs?
unaweza pia kuzisave email tofauti tofauti.
Hizi email tofautitofauti ni email za google?
 
Permission inaruhusu kusoma contacts mkuu

Wakati wa kusave hakuna option ya google account.Kuna option za line za simu pamoja na simu yenyewe basi.

Hizi 3rd party apps ni kama zipi mkuu?Na je hizi 3rd part apps zinaruhusu google syncs?

Hizi email tofautitofauti ni email za google?
Email yoyote mkuu, kwa kuanzia mkuu download contacts by google uone kama itasolve, ikishindikana tutumie 3rd party

A23 haina thamani zaidi ya laki 5 mkuu,

Ipo A23 5G ambayo kidogo around laki 6 sio mbaya.

Pia kama unapata A14 5G ni simu nzuri zaidi, version ya Exynos 1330.
Asante mkuu kwa maelezo.
 
Nimegoogle hapa mkuu umeipa Google play service permission zote? Nenda setting then apps then itafute hio playservice kisha ipe permission zote uone kama itasaidia.
Kaka kuna app ipo ndani ya simu za android inaitwa google services framework na huwa haionekani kule playstore ni mpaka uisearch.Sasa kuna siku ilikuwa inakula sana bando na niling'amua hilo kupita app ambayo huwa natumia kutrack matumizi ya bando.

Sasa nikaenda playstore na kuisearch kisha nikadisable function zake nyingi ikiwa ni pamoja na contact permission na ndipo tatizo lilipokuja.

Wakati sasa najaribu kutatua tatizo kwa kurudi playstore na kuallow permission kwenye app mbalimbali, hii google services framework ikawa haionekani na mimi nikawa nimesahau kuwa niliichezea na huwa haionekani play store.

Nilihangaika sana hadi siku naangalia matumizi ya bando ndipo nikaiona na kukumbuka kuwa niliichezea, kisha nikaenda playstore nikaisearch na kuruhusu permission za contacts ndipo tatizo likaisha.Asante sana kaka kwa msaada wako.
 
Mkuu Chief-Mkwawa samahani nimevutiwa na hii Samsung a50 ila nataka kuchuku hiyo ya us version single line sababu ya unafuu wa bei,,je inaweza kusumbua mtandao huku kwetu?
Screenshot_20230311-212511.jpg
 
Habari wakuu...

Nimekuwa interested na hiyo simu tajwa hapo (Samsung a23 iwe na na 6gb RAM na memory ya 64gb). Kwa anaejua gharama yake anijulishe... kuna mtu nilimuuliza akasema zimekuwa adimu hazipatikani. Kuna ukweli wa hilo?

Nipo Dar.
Rahisi sana hapa maeneo ya Msimbazi muone poti hapo central zipo kibwena
 
Back
Top Bottom