Msaada: Kisimbuzi cha Azam kinasumbua

UMUNYU

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
685
484
Kwanza ninawashukuru wote mlionishauri kubadili king'amuzi baada ya kile cha zuku kuwa kinaniandikia no signal kila siku hasa mawingu yanapotanda!Nilihamia huku kwa Azam! Sasa baada ya kukizoea toka juzi wingu limetanda na mvua inanyesha kama ilivyotabiriwa!

Ajabu toka juzi naandikiwa "No or bad signal". Yaani ni kama nimepata Zuku part two!Kwa kuwa sina uzoefu na king'amuzi hiki ninaomba mnisaidie namna ya kutatua tatizo hili!Nimepiga huduma kwa wateja wananiambia wako busy wanahudumia wateja wengine!

Msaada tutani.
16990843955023473800018347599068.jpg

16990844236901364362184961920706.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom