Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 754
Jamaa mmoja toka nchi ya Australia alinusulika kufa baada ya simu aliyokuwa nayo aina ya Google pixel 4xl kumuokoa maisha yake baada ya kupata ajali akiwa pekee yake.
Anaitwa chuck Walker anasema Kuna siku Kwenye simu yake aliona feature ya Car crash Detection akaweza kuiweka on ambayo inakupa uwezo wa kutoa msaada polisi au kwa watu wengine ikiwa umepata ajali Kwenye gari.
Ilikua novemba mwaka Jana alipopatwa na hiyo changamoto baada ya gari alilokuwa anaendesha kupinduka na kuweza kumvunja mguu na mbavu zake na milango yote ya Kwenye gari kujifunga na kushindwa kufungua kwani alikua amepoteza fahamu.
Lakini kupitia simu iliyokuwa imetupwa mbali ajali ilipotokea iliweza kutoa taarifa kituo Cha polisi kwa kupitia 911 huduma ya dharura ambayo yenyewe iliweza kutuma ujumbe kuwa na Kuna ajali imetokea eneo fulani inahitajika msaada.
Ndipo polisi waliweza kutumia saa tatu kumtafuta Mr chuck Walker na kumpatia msaada pamoja na kumpeleka hospital baada ya kupita siku 100 aliweza kusimama Tena na kutembea.