Kuna Thread niliwahi zungumzia juu ya Apps hizi scam za Mikopo.
Sasa Leo tujaribu kuangalia kwa upande wa matapeli wa tuma kwenye namba hii ambalo ni gang kubwa na wanafunikwa na kivuli Cha...
Hello ndugu zangu habari za Muda huu, Matumaini yangu mnaendelea vizuri na majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Ni Kwa namna gani naweza soma au jifunza hizi course tajwa hapo juu? Kama kuna yeyote...
Wandugu Salama
Hivi nawezaje kuzuia kuzuia app ya bank wasiweze ku access contact na calendar kwenye simu yangu
Mfano ukidownload app ya crdb kunasehemu inataka Ile app iweze kuwa na access ya...
Ndugu nazidi kuja kwenu kuomna msaada wa kujua app za bure za kuchat na gpt maana nimeona kule unaweza kuwa na shida ikasaidia kukupa maelekezo. Nilipata moja ya bing nimechat nae kanikatoa...
Habari zenu Wakuu,
Mimi ni mtumiaji wa Vodacom. Hivi karibuni nimekuwa nikikutana na hali ya salio langu kukatwa kiasi cha Tsh.100 kila baada ya mida flani bila ya ridhaa yangu.
Nikiwapigia...
Naomba mwenye uzoefu na iPAD AIR PRO tablet pc Android 13 km ni nzuri kwa matumizi na km inaweza kusupport window yoyote.
Hapo juu ni Android 13 siyo 23
Kuna namba ya simu nataka kuitrack nijue yuko wapi ila nashidwa kila app ninayo download playstore inasumbua.
Hebu nisaidie katika hili mnaofahamu ku track simu.
Binafsi sio mshabiki wa mpira kabisa ila 2022 mwishoni nilianza kuahabikia timu ya Yanga, nikajikuta die hard fan. Kombe la dunia lilipoanza nikawa naangalia maramoja moja, siku moja nikasearch...
Uzi tayari,
Ambao katika pita pita zenu mmekutana na simu zenye camera kali kwa ajili ya photo shooting & video recording njooni tufanye kushare idea
Hakikisheni bei ya simu hizo ni chini ya...
Kuna mtu yeyote ambaye anajua software yoyote ambayo inaweza kufanya kazi kama voice Q inayorun kwenye windoes na inatoa features za dubbing kama voice Q
Nimedukuliwa facebook account yangu na kubadilishiwa email na password na mtu nisiyemjua, siwezi tena ku-login kwenye account yangu, kaondoa email yangu kaweka yake na kubadilisha password, MSAADA...
Unarudi nyumbani toka kwenye mihangaiko yako unatufungua mlango kuingia ndani Tv hakuna nani kachukua hujui? Utafanyaje?
Je Kuna njia tunaweza tumia ku track Tv iliyoibiwa ? Na kumkamata mwizi...
Habari viongozi?
Nimeibiwa pikipiki na kijana niliemuamini nikampa apige boda.
Simu yake kuita mara ya mwisho ilikua juzi ila toka jana haiiti.
Tulikuwa hatujakamilisha wadhamini maana ni kijana...
Habari wadau, nitangulize salamu
Ni Mwezi sasa au zaidi nimekuwa nikiona na kusikia malalamuko ya baadhi ya watumiaji wa mtandao wa Facebook akaunti zao kudukuliwa na watu wasiojulikana (hacker)...
Wakuu nimejaribu mara nyingi kutaka ku-link Blog yangu na Google AdSense lakini nimechemka, kwa wazoefu, shida inaweza ikawa nini?
Blog hii hapa
Swahili 360 | Welcome
Pia ninatumia Newspaper...
Waalifu wa mtandaoni wanatumia Chat Gpt kuweza kueneza virusi, malware kampuni ya meta imewaonya watumiaji wake.
Teknolojia ya Akili bandia inazidi kushika Kasi ulimwenguni. toka ianze kutumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.