Kwema bandugu?
Hata sina maneno mengi kwenye hili...
Kama title inanyojieleza naomba kufahamishwa ni nani au akina nani? Waliotengeneza App ya Cheka Plus?
Natanguliza shukurani.
1. Washa hotspot yako ili uweze kuunga simu yako na computer/ laptop hii ni free haihitaji kuwa na data/ bando kwenye simu yako
2.ingia kwenye Xender yako gusa neno Connect to PC itakupeleka...
Hizi simu bana Bora uchukue zako Infinix au Samsung, Nimeinunua miezi 6 iliyopita. Lakini shida iianza Jana inawaka Lakini mwanga unakuwa hafifu saaana, Mwisho kabisa ikazima jumla mwanzo nilijua...
Je wewe ni muhanga wa kufungiwa kutumia Whatsapp Kwenye simu yako na kila ukijiunga Whatsapp lazima upigwe ban ? Unafanyaje kujiondoa?
Wengi wanajiuliza inakuwaje imenitokea hii inakutokea kwa...
𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶𝗻𝗶 𝘇𝗮 𝗺𝘂𝗱𝗮 𝗵𝘂𝘂 𝘄𝗮𝗸𝘂𝘂!
Natumai asilimia kubwa mtakuwa mmeshuhudia wimbi kubwa la watu wanaolalamika kufungiwa namba zao za Whatsapp kutokana na kutotumia Official Whatsapp App
Watumiaji...
Tanzania ina kiwango kikubwa cha kodi na ushuru inaotoza kwenye simu za mkononi ikilinganishwa na mataifa mengine duniani.
Viwango hivyo vinaelezwa kuwa juu kuliko mataifa mengi ya kusini mwa...
Nina masomo mengi sana naona kabisa naweza kushea na Jamii Sasa nataka ni upload YouTube na kwenye MITANDAO ya kijamii.
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza natakaiwa kuwa na vifaa gani?!
NB...
Eneo niriropo ni la milima milima unaweza kukaa ndani mtandao haukamati kabisa ukatoka nje ukapanda tu ngazi mtandao unapanda
Au ukashuka tu kidogo mtandao unajaa
Hapa airtel na tigo hazishiki...
Nyingi zimepita kama Pirate bay, kat.ph na nyinginezo lakini nyingi zimefungiwa, Ipi inatumika 2024 bila kukudai Vpn na kukuletea vitu tofauti na ulivyoomba? Toka asubuhi najaribu jaribu bado...
Nilinunua mini fuel pump kutoka china kwa malengo ya kuanzisha kituo kidogo cha uuzaji wa mafuta huku vijijini ninapofanyia kazi.
Nimekumbana na tatizo la kwamba hii mashine ilitengenezwa kwa...
Huu ni wakati wa uchaguzi kuna blogu nyingi zinazoripoti na kutoa habari zingine za uchaguzi wetu ndani ya nchi na nje watu wamejiunga kwenye blogu hizi , majukwaa na hata wengine kufuatilia watu...
Habari za jioni wakuu.
Nimekumbwa Na tatizo la kutopokea WhatsApp code kwa wiki moja sasa naomba msaada wenu jamani
Maana kila nikijaribu inanionesha hivyo 😰😭
Wakuu nahitaji msaada kwa mwenye ujuzi na uwelewa wa hii kitu
Nimefunga Router Ile ya WIFI Nimeifunga Dukani kwangu Nia na madhumuni Nisambazie watu ili nipige walau buku buku kwa kila mtu,Naweza...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka
Nataka kutuma sms kwa watu wengi kila mtu na sms yake
Nimeshatengeneza excel file yenye collum
Jina|Phone number|SMS
Ujumbe upo tayari tatizo ni jinsi kutuma...
Moja kati ya misingi mitatu ya usalama wa mifumo ya TEHAMA (System security) ni Confidentiality.
Hakikisha zile taarifa nyeti zipo mikononi mwa watu walioidhinishwa (Authorized users) na si...
Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia.
Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink.
Kumbuka Starlink...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.