Wale wadau wa margin trading robots na MQL5 programming.
Katika ulimwengu huu ambao tumeingia kwenye nyakati za matumizi ya Akili mnemba vivyo hivyo hata sekta nyeti kama vile margin trading nazo...
Mimi ni mpenzi wa magemu hasa Yale ya Ppsspp sasa hii simu ni Infinix hot 30 play Niki download game kupaste data kwenye Zarchiver inagoma inaandika kama hivo pichani nimejaribu kuangalia YouTube...
Habarini
Natumia simu ya itel A05 mpya tu haina hata mwaka, laini ya voda nayo ni mpya haina mwaka, hili tatizo limeanza juzi, mb nakuwa nazo tena zaidi ya 800, ila nikiwasha mobile data sipati...
Wadau wa JF, kabla ya yote nikili jf kuwa chuo kwangu kwani napata madini mengi kupitia komenti za wanajf.
Leo nimeonelea nije na mada chokozi; ni kwa nini mtandao wa fiber internet na air fiber...
Habari wadau
Kuna jamaa aliazima hdd kwa ajili ya kuchukua movies. Baada ya kuirudisha nikichomeka kwenye computer unaisikia imekuwa connected ila haionyeshi .
Nimejaribu kuweka kwenye computer...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya watanzania wengi kuukataa na kuudharau mtandao huu wangine wamefikia hata kutaka kufuta account zao huko facebook
Hali ambayo nimeona ni tofauti sana...
Wana JF nna shida ya kujua sehem gani au chuo(short course) gani naweza kwenda kujifunza maswala za broadcasting technology based kwa radio transmitters issues au single course ya ufungaji wa minara..
Habari zenu wana jamvi, naomba tusaidiane.
Nina TV aina ya Sundar (sio Smart). Ina-support Flash driver na ina-load subtitle vizuri kwenye video. Tatizo linapokuja ni kwamba, siwezi kuongeza FONT...
Je wewe ni muhanga wa kufungiwa kutumia WhatsApp ?
Whatsapp Kwenye simu yako na kila ukijiunga Whatsapp lazima upigwe ban? Unafanyaje kujiondoa?? Wengi wanajiuliza inakuwaje imenitokea hii...
Kama ilivyo kwa YouTube pamoja na Blogs na website mbalimbali kuwa na kipengele cha Uvunaji kupitia Maudhui Mtandao hasa kampuni ya Google (Google Monetization) kwa kupitia Matangazo ya Google...
Jamani sasa hivi facebook kuna wimbi kubwa sana la account za watu zimedukuliwa. Jambo la kusikitisha na kutia aibu kupitiliza ni kwamba account hizi zinatumia na wadukuzi kurusha maudhui ya ngono...
Wakuu katika kuhakikisha mambo yanakuwa sawa,timu nzima ya AfroIT itakuwa inakuletea mafunzo ya Networking kwa maandishi na Video,Hivyo kaa mkao wa kura.Maoni na ushauri unahitajika katika...
Wadau,, hivi kwa Dunia ya sasa,,je mtu anweza kununu Lenovo thinkPad X260 au unamshauri anunue laptop ipi inayoendena na heavy duty activities lakini inatunza charge kama Lenovo X260 Ram8GB?Naomba...
Wakuu heshima kwenu.
Niende kwenye mada husika. Nimepata ujumbe kutoka kwa YoWhatsapp ikinitaka nitumie Official Whatsapp.
Nawezaje ku-link messages za YoWhatsapp na Whatsapp ya kawaida, coz...
Habari wakuu,
Kama heading inavyoeleza hapo juu, Naomba kwa mwenye experience na masuala haya ya mafuzo ya udereva yanavyokwenda anishauri ni Driving school gani niende ili kupata elimu ya...
Kampuni ya META kupitia mtandao wao wa WhatsApp, wameanza operation maalum ya kuzipiga Ban number zote zilizosajiliwa kwenye WhatsApp GB.
Mwanzoni kampuni ya WhatsApp ilikuwa inawapiga Ban...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.