MSAADA: Blog yangu inagoma kuunganishwa kwenye Google Adsense

Mfukutuzi

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
239
175
Wakuu nimejaribu mara nyingi kutaka ku-link Blog yangu na Google AdSense lakini nimechemka, kwa wazoefu, shida inaweza ikawa nini?

Blog hii hapa
Swahili 360 | Welcome

Pia ninatumia Newspaper Template ya WordPress inaniambia ni-activate Theme, si mtaalamu sana wa hizi kitu, naanzia wapi?

Msaada tafadhali, najua jukwaa hili siwezi kukosa solution
 
Tatizo Lugha unayotumia, Adsenste huwa hawa support kiswahili hivyo hapo ni ngumu kupata na hata ukipata kufungiwa nirahisi. Kama unahitaji adsense badili lugha.
 
Mkuu, kwa hiyo ni lugha tu, hakuna kingine? Mfano labda Traffic etc
 
Tatizo Lugha unayotumia, Adsenste huwa hawa support kiswahili hivyo hapo ni ngumu kupata na hata ukipata kufungiwa nirahisi. Kama unahitaji adsense badili lugha.
Asanteni nyote. Kesho mapema sana naufanyia kazi ushauri wenu
 
Mrejesho: Blog sasa imekubali ku-display google ads baada ya ushauri wenu wadau
cc Sijuti, Healer2
 
(Out of topic) Pia kwa mwenye blogger namuwekea theme kali kwa 5000 tu customizations/ Optimization ifunguke faster, AMP pia kama atapenda, Rating Star snippets pamoja na kumuwekea adsense ads yake chini ya post/popote ili mtonyo uingie vizuri.
 
Mkuu shukrani sana umenipigia kazi kwa Uaminifu mkubwa sana na bila ubabaishaji
 
Mi naomba kujua namna nzuri ya kushare facebook maana akaunti zinakuwa blocked sana wakuu.
Ukitumia account za zamani hawafungi ila hizi mpya mzee wanazizima kinyama haswa ikiwa mpya alafu ina share links mara kwa mara at least iwe na miez iv kama sijakosea
 
Inawezekana aisee maana nina akaunti mbili hizo huwa azifungwi zinaishia kuwa banned kwa mda alafu zinaachiwa.Ngoja ntafute za zamani.
 
Back
Top Bottom