Umewahi kudukuliwa au una rafiki yako ambaye amefanyiwa hivyo kwenye ukurasa wake wa Facebook?

Nyakijooga

Senior Member
Dec 9, 2018
123
202
Habari wadau, nitangulize salamu

Ni Mwezi sasa au zaidi nimekuwa nikiona na kusikia malalamuko ya baadhi ya watumiaji wa mtandao wa Facebook akaunti zao kudukuliwa na watu wasiojulikana (hacker) kisha wahusika hao kuposti maudhui yao ikiwemo ambayo yanaenda kinyume na Sheria na utamaduni wetu.

Changamoto hiyo imewakumba watu wengi ikiwemo watumiaji maarufu wa mtandao maarufu kwa Tanzania, hali hii inasikitisha kwa sababu imekuwa ikipelekea kutia doa hadhi ya watu kutokana aina hayo ya maudhui ambayo yamekuwa yakichapishwa.

Najiuliza mamlaka zinawasaidiaje Watu hao wanaokutana na hizo changamoto hasa kutoa elimu ya kujikinga na udukuzi wa aina hii na je, wanachukua hatua zipi kuripoti matukio hayo kwa wahusika, kwa sababu wanaokumbana na changamoto hii wanaendelea kuongezeka siku hadi siku.

Maudhui hayo yanayochapishwa baada ya udukuzi huo yanaathiri pia jamii ya mtandaoni ambayo imekuwa ikikutana na maudhui hayo ikiwemo picha za utupu.

View attachment 2931120View attachment 2931121View attachment 2931122

FB_IMG_1710139230962_1.jpg

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Ukiona mtu akaunti yake imechukuliwa fb, either ni mfuasi wa picha za ngono, au mpenda gifts,
So kwanza watu waache tamaa za pesa. Mtu anaanndika hadi password yake kulogin au analogin using fb kwenye kurasa zisizo rasmi.
Mbili kupenda kufoward.
Tatu kupenda kupata likes nyingi.
Hawa wote ni wahanga.

Waache tamaa.
Otherwise.
Ukiibiwa account report. Tengeneza nyingine.
 
Mimi

View attachment 2931123

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hapa ila nilirudisha
 
Ukiona mtu akaunti yake imechukuliwa fb, either ni mfuasi wa picha za ngono, au mpenda gifts,
So kwanza watu waache tamaa za pesa. Mtu anaanndika hadi password yake kulogin au analogin using fb kwenye kurasa zisizo rasmi.
Mbili kupenda kufoward.
Tatu kupenda kupata likes nyingi.
Hawa wote ni wahanga.

Waache tamaa.
Otherwise.
Ukiibiwa account report. Tengeneza nyingine.
Acha kujibaraguza
 
Ni janga la sasa kila account ni picha za kukutiana tu, na ni wakenya hao, utasikia kushinda hii tuzo finya link hapa chini.

Finya ya nyok*
 
Back
Top Bottom