Simu za bei nafuu zenye kamera kali (2023)

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,360
Reaction score
11,588
Uzi tayari,

Ambao katika pita pita zenu mmekutana na simu zenye camera kali kwa ajili ya photo shooting & video recording njooni tufanye kushare idea

Hakikisheni bei ya simu hizo ni chini ya 400k ili kila mtanzania anayepita hapa apate haki stahiki bila matabaka

Camera ziwe na Pixels za kumwaga plus majonjo katika utendaji wake wa kazi

Uzi tayari...
 
Kivipi mkuu? Yaani kwenye haya matoleo mapya ya simu hatuwezi kupata zenye kamera bora ya kisasa kweli!!!?
Kwahiyo Bei hapana LABDA uchukue mtumba ongeza 450 uchukue pixel ,4xl zinakuwa used phone zimenyooka sana Yaan

Angalizo usichukue 4xl ambazo ni full boxed et wenyewe wanaita brand new ( refurbished) ingawa kweli unawza pata nzuri lakin Nyingi Mbovu iwe iphone Samsung or other brand
 
Tafuta google pixel au SAMSUNG used. Pixel zina shida ya mtandao ku activate Google ila unaweza tumia wife kama una simu nyingine. Ila kamera na audio yake opo juu ya Samsang.
 
Simu inayosimama hapa si nyingine ni pixel peke yake.

Nimechukua 4a juzi kwa 300k sijutii hata kidogoinagwa ni used.
Hujakutana na changamoto ya ku activate line ya simu na ku activate Google search engine ? Mie nimerudisha moja na kupewa nyingine nayo ina shida ya google connection. Yaani wife tu ndio inafanya kazi
 
Hujakutana na changamoto ya ku activate line ya simu na ku activate Google browser ? Mie nimerudisha moja na kupewa nyingine nayo ina shida ya google connection. Yaani wife tu ndio inafanya kazi
Tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom