๐—”๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ผ ๐—ฆ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—บ๐—ท๐—ถ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Waalifu wa mtandaoni wanatumia Chat Gpt kuweza kueneza virusi, malware kampuni ya meta imewaonya watumiaji wake.

Teknolojia ya Akili bandia inazidi kushika Kasi ulimwenguni. toka ianze kutumika Ramsi mwaka jana maana sio tu ilikua gumzo kwenye ulimwenguni wa teknolojia pia iliweza kuwavutia hackers wengi ulimwenguni.

Kwenye repoti ya usalama iliyotolewa majuzi na kampuni ya Meta imewaonya watu kuwa makini waalifu wa mtandaoni wanatoa program bandia au tovuti bandia kama vile chat Gpt au Akili bandia zinginezo kuweza kuwaibia watu taarifa zao.

Kuanzia march mwaka huu watu wengi awako salama haswa watumiaji wa tovuti za chat Gpt au app za Akili bandia Kuna baadhi taarifa za watu zimeibiwa bila wao kujua wanaweza leta matangazo kwenye simu au tovuti, kukuibia taarifa Zako muhimu kuanzia za mitandao ya kijamii , benki nk.

Kuna app au tovuti zinaonekana zimeundwa unaweza sema ni Akili bandia kumbe hackers wanatumia kukusanya taarifa za wtu mbalimbali na kuwaibia bila kujua kuanzia details za benki, mitandao ya kijamii nk.

Meta wameshazuia Zaidi 1000 tovuti fake za chat Gpt ambazo zinaonekana sio Salama kuweza ku share taarifa toka kwenye Facebook, Instagram pamoja na Whatsapp

Pia meta imewapa tahadhari watu toka makampuni mbalimbali, wafanya kazi wa serikali, watafiti, Wana siasa wawe makini sana.

Baadhi ya malware Meta waliweza kuwagundua ni Ducktail,Nodestealer, malware mpya anajitengeneza na kujisambaza mwenyewe kwenye Dropbox, MediaFire, Google drive,Mega, Discord, Microsoft onedrive nk.

Anasema wanatumia mbinu mbalimbali kuwalaghai watumiaji ivyo kuwa makini na izo Akili bandia unazoziona usipende kufanya usajili na email, au namba yako muhimu ya simu unaweza kuibiwa mjihadhari.

Vipi unaionaje chat Gpt ni kweli ni salama kwetu au lah tuachie maoni yako?

png_20230531_093239_0000.jpg
 
View attachment 2641054
Kaka fanya utaratibu ufungue blog Nina uhakika For 100 percent you will get many traffic sana tena fungua ya Kiswahili...?
 
Back
Top Bottom