Nadhani ML ni zaidi ya kuunda app au website.Ninayo iyo andaa 15k kama unataka ni Fresh from Udemy yenye rate ya nyota 5 kabisa ukihitaji DM nimeuza sana hizi kozi
NB: Uwe na 15k mkononi
Zaidi soma>>
Mwenye uhitaji wa kozi yoyote udemy
Habari wana JF Katika karne hii ya sasa bila elimu ya Technolojia flani itakuwa ngumu sana kufanikiwa kwani dunia yasasa ni ya kidigitali zaidi kwaio hutakiwi kupitwa na elimu ya technolojia kama vile kutengeneza Website,Application n.k n.k Narudia tena kuandika na Lengo la Uzi huu ni kukupa...www.jamiiforums.com
Una maanisha video za freecodecamp?Kwa kuanzia kuna youtube videos free za hizi topics. Kuna video za hadi masaa 30.
Naomba link. Video karibia zote ni advance, ziaanzia model architecture. Hata hizo zilizoandikwa basicZinaanza kwanzia intro level, basic level mpaka adavnce level. Plus tools za kutumia pia zipo za free.
Python kwa beginners 100%Inahitaji dedication tu. Unahitaji kujua hesabu za statistics na probability. Uwe na uwelewa wa programing language ya python au R. Kila la kheri mkuu.
Nadhani ML ni zaidi ya kuunda app au website.
Je Content za hiyo tutorial ni zipi?, zinaanzia basic kabisa
Hamna cha utashi, ingekua ni utashi ung'ekuta ML researcher wamejaa mtaani, Unaazaje kusoma regression na linear (logit na pobit) huna degree au masters ta Mathematics au Economics.
Kwa mujibu wa Prof Andrew Ng, walau Advance Mathematics inatosha labda kama una plan ya kuwa Researcher kudesign ml algorithms mpya, na kwa kuhamasika zaidi ziangalie projects za ML za wanafunzi wa stanfordAsante sana Kwa michango yenu, kiujimla Sina Degree ya Statistics Wala hesabu, ila nimesoma computer science na Information Security, hesabu nilisima advance.
Unahitaji kwa ajili ya nini. Elewa kuwa sehemu kubwa ya machine learning ni statistics, na nyingi hufanya classifications tu za kutambua patterns kwenye data.Hello ndugu zangu habari za Muda huu, Matumaini yangu mnaendelea vizuri na majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Ni Kwa namna gani naweza soma au jifunza hizi course tajwa hapo juu? Kama kuna yeyote mwenye muongozi nahitaji msaada.
Njoo nkupe full package course ya Machine learning, ML and Ai, Data scienceHello ndugu zangu habari za Muda huu, Matumaini yangu mnaendelea vizuri na majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Ni Kwa namna gani naweza soma au jifunza hizi course tajwa hapo juu? Kama kuna yeyote mwenye muongozi nahitaji msaada.
Unaweza Soma, fresh .Asante sana Kwa michango yenu, kiujimla Sina Degree ya Statistics Wala hesabu, ila nimesoma computer science na Information Security, hesabu nilisima advance.
Ukitaka raha zaid, anza kwa mfululizo ufuatao in your learn journey .Hello ndugu zangu habari za Muda huu, Matumaini yangu mnaendelea vizuri na majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Ni Kwa namna gani naweza soma au jifunza hizi course tajwa hapo juu? Kama kuna yeyote mwenye muongozi nahitaji msaada.
Sure, ML ni prediction, kama anajua adv math, statistics & probability basi ataimudu vizuriHamna cha utashi, ingekua ni utashi ung'ekuta ML researcher wamejaa mtaani, Unaazaje kusoma regression na linear (logit na pobit) huna degree au masters ta Mathematics au Economics.
Machine learning ni models. Utajuaje model ni bias, data distribution ect bila ya foundation za statistics?
Hizi ni advance sio advance tu ni professional level. Hapa utapoteza mda wa ku copy na kupest code tu, beginner hautaelewe chochote.
Pale mwanzo niliuliza kama ana ana degree ya statistics , analytics au Economics anaweza ku subscribed kwenye hii course yako.
Lkn kama hana, jaribu kumta zile basics labda za Image Classification, Recommended system, Computer visions na nyiginezo ambazo sio ngumu sana.