¤.Kwanza kabisa log in katika acount yako, Wakati uko ndani ingia katika Account Setting kisha badilisha lugha kuwa Bahasa Indonesia.
¤.Njia Ya kuwafanya facebook wakuamini kuwa unatokea Bahasa...
Wanajukwaa habari zenu, najaribu ku-install whatsapp plus kwenye simu yangu baada ya ku-unstall whatsapp ya kawaida ila inaniletea ujumbe '' Android App Not Install. An existing package by the...
Habari yenu wakuu.
Naomba msaada wenu kwa yeyote anayefahamu utatuzi wa jambo hili.
Ninatumia Galaxy S4, lakini hivi karibuni imeanza pindi unapoweka power saving mode au auto brightness au...
Habari wanajukwaa??
Katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa BUILD.PROP, kiukweli nimevutiwa na tweak moja ambayo nimefundishwa ya kuweka zile endkeys(navigation keys) kwenye screen...
Kuna hii simu tv unaweza kupata channels chache za live... Kama tbc ,channel 10,sibuka....mlimani tv..
Naomba nyingine ya kuweza kupata channels zaidi za kibongo?
Wana JamiiForums habri zenu,
Mie leo ninashda moja, nina laptop haina partition yaani nikipga window chini kila kitu kinapotea,
Ila yupo jamaa akanambia niweke partition sasa watu kama mimi BBC...
Nina windows phone (nokia lumia 521) ya urithi na muhusika alikuwa anaitumia USA, sasa shida nkiweka laini zetu za kibongo haisomi, mafundi kadhaa wameshindwa kunisaidia, mwenye ujuzi na haya...
Habari ndugu zangu naomba mnisaidie program or software ya kugenerate random numbers mfano kwenye jackpot ya meridian betting tanzania,zile number zinatokaje??ule mchezo wa betting wa...
Karpesky lab said it believed the attack was designed to spy on its newest technologies.
The Russian firm added that it was continuing to carry out checks, but believed it had detected the...
Habari wadau simu yangu samsung gt 53001,imegoma kuwaka inaganda tuutuu, mara ya kwanza ilikuwa inaandika "mtp not support", yani fail zingine hazitaki kufunguka kama camera, file na apps nyingine...
wanajamiiforum naomba msaada wenu kujua ni ipi business management software nzuri kuliko zote ilitotengenezwa hapa kwetu bongo, naihitaji kwa matumizi ya supermarket na fast food business
mie...
Habari zenu wadau?
Kuna mashine ya kutolea copy inaitwa OLIVETTI COPIA 8020.
Please mwenye kujua sifa, tabia, faida na hasara ya hii mashine anijuze tafadhali.
Nataka kuuziwa hii mashine kwa...
Baada ya kufanikiwa ku-program modem yangu ya hauwei. Nimeona ni vizur niandike programu hii , ili niweze kushare nanyi wana jf
Download programu hii hapa