Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ndugu wanajamvi kitecno changu kinasumbua camera ukitaka kupiga picha unaambiwa can't connect to camera. Je tatizo ni software au hardware? Na ntawezaje kulifix. Naomben msaada wenu
0 Reactions
8 Replies
7K Views
wakuu heshima kwenu. itifaki ikizingatiwa. ninatumia itel ambayo n smartphone ina tatizo la kujaa hata kama sija sija dounload chochote. internal memory ni 149mb. kila nikifanyia back up restore...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naiona hii kitu lakini sijui ipo ipo vipi,Naona ina Follow kama twitter,Ebu tupeni ufafanuzi jinsi ya kutumia and the like.
0 Reactions
64 Replies
8K Views
Habari wana jamvi, kimsingi msaada wenu ni mhim sana kwangu. Simu yangu ya Tecno nilikuwa naiformat (factory reset) baada yakumaliza ikagoma kuwaka. Inaandika UI system not responding hivyo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu habari!! Wiki iliopita niliona documentary Nat Geo. Kuna ndege ya Canada 2001..ikiwa na abiria ilipata hitilafu angani na injini zote zilizima lakini pamoja na hayo iliweza kutembea...
3 Reactions
101 Replies
17K Views
Natumia Window7 Katika Komputa Yangu.Tatizo Hili Nimeanza Kuliona Hivi Karibuni Zamani Halikuwepo.Naomba Kwa Yeyote Anaeweza Kunisaia Ushauri Ili Hili Tatizo Liishe. Kila Nikiwasha Komputa...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
simu yangu nikiwesha data inakuwa inajidownload mafile yenyewe na mengine hutokea kwenye screan kama yoyogame na mengine mwenye uelewa anisaidie
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu heshima kwenu ni maeneo gani nitapata huu mtandao nipo kisarawe?nilimaanisha tigo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
baada ya simu za java na symbian now tujaribuni kutumia vodacom free internet kwa android. Ch kwanza download operamini apk handler kutoka link hio apo chini Next Generation Mobile Software...
7 Reactions
117 Replies
14K Views
mambo vp wana Jf Samahan jaman Kuna Software au App gan ya kuhack Password za WIFI?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za humu wadau, Kichwa tajwa kinajieleza, naitaji msaada juu wa kupata program ya unlocking modem
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Habari wakuu.. Mi nlikuwa na shida ya software ya kurestore data na files baada ya kuformat corrupted partition ya external hdd...ntashukuru sana km ntapata ambayo ni full version ambayo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nawezaje kujua umbali wa router ya wifi/ hotspot ilipo… kwa kutumia android phone
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Nahitaji kujua watumia wote wa wifi katka router moja na mimi pia ni user
0 Reactions
2 Replies
895 Views
naombeni mnisaidie mwenye keys au activators za windows 10.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je naweza tumia application gani niweze zuia nsionekana kma natumia wi fi ya ofisi.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za leo wadau Naomba mwenye programu ya office 2013 anisaidie
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Msaada nimedawnload dream league soccer apk ila wamenambia kuna data natakiwa nizidawnload kutoka Google play
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninatumia Simu aina ya Tecno H6, nimeinunua hata mwez haujaisha, tatizo ni kwamba nashindwa ku login kwenye account za TCU na HESLB ambazo tayari nimeshajisajili ambazo mwanzo nilikuwa naweza...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mara nyingi huwa ina stuck. Nikibonyeza power button huwa inazima na haiwaki tena. Ni mpaka ni-press 'power button' na 'volume up' keys kwa pamoja ili ni-reboot. Hii hutokea hasa ninapokuwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom