DOGofGOD
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,341
- 480
Natumia Window7 Katika Komputa Yangu.Tatizo Hili Nimeanza Kuliona Hivi Karibuni Zamani Halikuwepo.Naomba Kwa Yeyote Anaeweza Kunisaia Ushauri Ili Hili Tatizo Liishe.
Kila Nikiwasha Komputa Yangu Baadhi Ya Shortcut-icons Za Juu Kabisa Zinakua Ziko Off-screen.Ninachoweza Kuona Ni Majina Ya Hizo Shortcut Icon Lakini Icon Zenyewe Hazionekani.Zinakua Zimejificha Juu Ya Screen
Na Nikifungua Programu Yeyote.Let Say Ms-World.Title Bar Ya Hiyo Programu Inakua Off-screen Kiasi Ambacho Zile Buttons Za Kuminimize Au Kumaximize Nnakua Nashindwa Kuziaccess Kwsbb Zinakua Off-screen.Screen Resolution Nnayoitumia Ni 1680*1050 Na Ndiyo Recommended Na Cjawai Kuibadilisha
Natumaini Maelezo Yangu Yamejitosheleza Na Nimeeleweka Vizuri.Kwahiyo Naombeni Kwa Yeyote Mwenye Maujanja Yanayoweza Kutatua Tatizo Hili Anisaidie.
Natanguliza Shukrani Zangu