hassanally89 Member Mar 30, 2013 9 0 Jul 18, 2015 #1 naombeni mnisaidie mwenye keys au activators za windows 10.
Smokey D JF-Expert Member Jan 30, 2013 2,631 2,086 Jul 18, 2015 #2 Umepata wapi hiyo window 10 bila activation keys..kwa msaada kama umeipata kwenye official site ya microsoft watakupa ukisign up..kama umepata uchochoroni kama Torrents tumia hii activator..https://kat.cr/kmspico-v10-0-4-office-and-windows-activator-techtools-t9934404.html
Umepata wapi hiyo window 10 bila activation keys..kwa msaada kama umeipata kwenye official site ya microsoft watakupa ukisign up..kama umepata uchochoroni kama Torrents tumia hii activator..https://kat.cr/kmspico-v10-0-4-office-and-windows-activator-techtools-t9934404.html