Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Makala hii itakupa muongozo wa namna ya kupata chaguo la "developer options" katika smartphone za Android. Soma zaidi hapa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wanajf, heshima kwenu. Kufanya plumbing (kuweka mfumo wa maji safi na maji taka) kwa nyumba ya vyumba vinne vya kulala, public na private toilets, sitting na dining rooms, jiko na stoo pamoja...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wadau mm ni mpenzi wa games hususan za missions natafuta game ya call of duty modern warfare mm ninayo 4.hivyo mwenye tofauti na hiyo naomba uni PM
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Wadau mambo vp, Mwenye product key za window 8 msaada.nina software lakini product key zake hazifanyi kazi kama kuna mtu anazo msaada wadau.thanks in advannce.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, nauliza naweza kupata software inaonyesha mfanyakazi ameingia saa ngapi, ametoka saa ngapi, na hiyo taarifa imfikie mwajiri mda huo huo, iwe kwa njia ya sms au email, msaada wadau.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana IT na computer Science, Please naombeni msaada, nataka kufanya database management-Oracle, ni chuo gani mnaweza kuni recommend hapa DAR? background yangu ni 1. Accounting (Undergraduate) 2...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Software version: *#9999# IMEI number: *#06# Serial number: *#0001# Battery status- Memory capacity : *#9998*246# Debug screen: *#9998*324# - *# 8999*324# LCD kontrast: *#9998*523#...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Je hii machne inasema ukweli kwa kiasi gani? http://www.healthanalyzermachine.com/photo/healthanalyzermachine/editor/20150403165646_91428.jpg yaani unashika tu mkononi halafu inakupima mwili mzima
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wanajukwaa, naomba kuuliza kama officially released ya android lollipop kwenye HTC one m7 imeshatoka, na kama imetoka nitawezaje ku upgrade. Asanten
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Wana jamvi naomba msaada jinsi ya kuweka maandishi madogo madogo kwenye background ya documents mfano vyeti
0 Reactions
4 Replies
2K Views
husika na kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kwa ajili ya kutrack muda ikifika muda nilioset pc ijizime ni kwa ajili ya internet cafe ikiwa na key zake na bure itakuwa powa zaidi. with regard.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi kwa wale mafundi TV, Nauza TV (Screpa) imeharibika kioo ila vifaa vingine vipo ok. Kwa mafundi TV anayehitaji ani PM. TV yenyewe ni LG, PLATT, PLASM, INCHI 42.. Ahsanteni!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hivi maajuzi nimenunua i-Surf Tablet baada ya muda kama mwezi hivi, kwenye keypad +na # zimeacha kufanya kazi. Sijajua kwanini. Ila nakumbuka siku hiyo nilikuwa nadownload nyimbo pia ilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nisaidieni ninafanyaje wakuu
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Wakuu za kwenu? laptop yangu aina ya Dell imekuwa kama desktop kwani inawaka nikiweka adapter kwenye Umeme tuu, Nikiiitoa inazimika papo hapo. Nimejaribu kununua betri Mpya lakini imeendelea kuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani ninashida moja nimedownload whatspp plus ila niki install ina kubali ila ikifika wakat wa kujaza detail inaniandikia your phone time is inacurate reset and try again sasa ni fanyeje
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Ninaomba kufahamu kozi za computer kwa ngazi ya shahada zinazokufanya kuwa programmer mzuri,tofauti zao zilivyozidiana pamoja na programming languages kwenye kozi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii naomba msaada wa namna ya kudownload kitabu hiki "medica imaging techniques reflection and Evaluation" au kama kuna mtu ana link ya kukidown load anisaidie. Kwenye jalada lake...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu! Ninapotaka kuingiza progam yeyote inanitaka niende Katika store nitafute na kuinstall kutoka huko. Je! Kuna namna ya kufanya ili niinstlall bila kupitia market store? Asante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeona ni share na wale tuliojaaliwa kumiliki haina hii ya amaizing toyota soloon car i mean brevis. Kwanza niseme kuwa nimeimilki hii gari sasa kama two years na nilikuwa naifanyia tafiti...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom