Ndugu wanajamvi kitecno changu kinasumbua camera ukitaka kupiga picha unaambiwa can't connect to camera. Je tatizo ni software au hardware? Na ntawezaje kulifix. Naomben msaada wenu
kuna mtu humu alishawai kuuliza anataka akanunue hiyo kitu.nikamshauri bora achane na hizo simu aziishagi matatizo.reset ikigoma tafuta update zake.....ila tatizo hilo kupona ni bahati sana.....
Mkuu hasara za kuristart hazipo maana maelezo yako yanataka nijarib haupo sure au umeshakumbana na hili tatizo?