NItapata wapi mtandao wa Tigo (4G) kwa Kisarawe?

NItapata wapi mtandao wa Tigo (4G) kwa Kisarawe?

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
8,428
Reaction score
16,215
wakuu heshima kwenu ni maeneo gani nitapata huu mtandao nipo kisarawe?nilimaanisha tigo
 
wakuu heshima kwenu ni maeneo gani nitapata huu mtandao nipo kisarawe?nilimaanisha tigo

Tigo 4G hawajatoa priority kuifikia kisarawe so usiwaze sana maana kwanza ni expensive sana,sijui kama minara ikifungwa huko hela ilotumika itaweza kurudishwa:wink2:
 
Back
Top Bottom