Help: Hacking Wireless Password

Help: Hacking Wireless Password

Luvanga1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
2,025
Reaction score
1,711
mambo vp wana Jf

Samahan jaman Kuna Software au App gan ya kuhack Password za WIFI?
 
Hakuna software ya moja kwa moja ila nyingi wanaweka password nyingi tofauti tofauti alafu yenyewe inakiwa inajaribu kuingiza password kwa hiyo wifi. Ila ukibahatika kupata machine moja ambayo ipo connected na hiyo wifi network basi hapo software zipo zitakuonyesha.
 
shukran sana
 
Back
Top Bottom