Nnachotaka ni id yang isionekane kma nam natumia wi fi yao
Labda ufanye kuingia na WiFi ya simu halafu ufanye teethering.... Ila kama WiFi yenyu ina pass ambayo kila mtu anapewa yake bado haitakusaidia watakudaka tu.
Device gani unaongelea? Simu au PC? Ni ID gani unayotaka kuficha na umejuaje wanaiona huko?
Security protocol ipi imetumika? Kila mtu anaingia na password yake (Enterprise) au kuna password moja ambayo wote mnatumia (WPA PSK)?

unafanyaje kila mtu kuwa na paswd yake katika wifi moja? kwa anayejua hilo msaada
Unahitaji device router/firewall ambayo kabla mtu hajapata access ya internet ni lazima ucreate username au upate mac address yake.Kama unahitaji hiyo solution sema tuingie kazini cost inarange kwenye around us$ 1300 up kutegemea na idadi ya network users.
Nitakufanyia configuration na kukufundisha the basics on how to use it just incase utahitaji.