Trick ya voda free net kwa Android phones | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Trick ya voda free net kwa Android phones

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief-Mkwawa, Mar 23, 2012.

 1. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,811
  Likes Received: 7,148
  Trophy Points: 280
  baada ya simu za java na symbian now tujaribuni kutumia vodacom free internet kwa android.

  Ch kwanza download operamini apk handler kutoka link hio apo chini

  Next Generation Mobile Software

  Hio opera ina trick 2 za kupata net bure.

  trick ya 1

  Tengeneza setting hizi katika simu yako
  Unaweza tumia existing access point au ukacreate new access point

  Access point name (apn) eka internet
  Ip eka 80.239.242.253
  Port eka 80

  Ukimaliza fungua opera handler yako uliyo download

  Shuka chini proxy type eka http na proxy server andika 0.facebook.com

  Ur done enjoy free net

  trick ya 2

  Trick hii ni rahisi tumia access point yako ya kawaida halafu fata maelezo haya

  Uta open opera hadler ulodownload
  Proxy type eka real host
  Proxy server eka 0.facebook.com

  Ur done enjoy free net

  NOTE: trick ya kwanza ni ngumu kueka ila ina faida unadownload files kubwa (zaid ya mb 100)

  Trick ya pili ni rahisi ila utadownload file ndogo kama miziki na short clips mb 5 hivi
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ok thanx for trick..
   
 3. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,309
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  natumia galaxy 10.1, nimefuata process zote na baada ya kusave mwishoni inaaza install opera then inanambia unable to connect.
   
 4. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,309
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  imekubali kwangu kaka natumia galaxy 10.1 ina android version 3.1 honeycomb, nashukuru sana kaka.
   
 5. sakasaka

  sakasaka Senior Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kaka umetisha bana mm nimejalibu trick ya kwanza kwenye sonyericsson xperia x10 imekubali na kwa line ya tigo na voda sasa cjui itaendelea au vp?
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,811
  Likes Received: 7,148
  Trophy Points: 280
  Hii trick ni ya voda naitumia mwaka wa 2 sasa voda hawana ujanja wa kuindoa hadi either wavunje mkataba na facebook(0.facebook.com) au mkataba uishe.


  Kuhusu tigo brother hii trick haipaswi kufanyakazi bure sasa sijui kwanini kwako ni bure labda mtu mwengine atuambie kama kwake pia ni bure
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  to me it is doing well in galaxy note with Vodaline
   
 8. Mwaga_mwaga

  Mwaga_mwaga Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmh...hii ni hatari jombaaaaz.!!!
   
 9. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Je mm mwenye nokia 3120c
  nifanyeje
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,811
  Likes Received: 7,148
  Trophy Points: 280
  Ya nokia si ipo posted tayari?
   
 11. d

  daby mouser JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  daaaah chief nimefanikiwa kuidownload operamini hadler,but kinachonishinda ni jins ya kuifungua kwenye proxy type nd server msaada wako tafadhali(natumia sony erics Experia X10)!
   
 12. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,811
  Likes Received: 7,148
  Trophy Points: 280
  Kama umesoma post za juu kuna mtu anaitwa saka saka ana xperia 10 kama wewe nakushaur m-pm yeye atakufundisha zaid mimi sina ujuzi sana na android
   
 13. mcShayo

  mcShayo Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wazee, mi natumia Motorola Defy - Android...unfortunately kia nikijaribu kudownload hyo handler inakataa kufunguka...nina Operamini ya kawaida na operamini next pia....zinaweza kuwa modified au nifanyaje kujua hzo sehemu za setings maana hz za kawaida hazina option yakuchange proxy server etc....thanx in advnc!.
   
 14. mcShayo

  mcShayo Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hiyo opera Handler Nilikuwa najaribu kufungua through operamini ikakataa, nikajaribu through browser ya 4n imekubali kuwa downloaded but still imekataa kuwa installed...whats the prob?!..or whats the other soln?!..moreover nimeweka lyn ya Voda baada ya kufanya configs kama hapo juu walivyosema but still haifungui page yoyote....HELP.!!
   
 15. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,811
  Likes Received: 7,148
  Trophy Points: 280
  Unaweza kuntajia extension ya hizo opera zako? Mfano sisi wa nokia extension zetu ni .sis au .jar na hii ya android ni .apk je wewe yako
   
 16. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  chief mie nina simu nokia N900 je naweza kupata link ya kudownload operamini handler65, mana inadownload mafaili makubwa kwenye simu yangu nokia e61i sasa nataka nitumie kwenye my N900. Msaada wako mkuu unahitajika sana.
   
 17. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  wadau kama kuna mtu ana link ya opera handler ktk extension name ya .apk naomba aniwekee maanake hyo link aloweka chief mkwawa nimeshindwa pata installer
   
 18. Abloodi

  Abloodi Senior Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mimi nimefankwa kuweka operamn ktk ideos lkn hata nset vp inagoma .. sa sjui nakosea nn?
   
 19. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  mbona katika hyo download file hamna installer.? kwa mliofanikiwa naomba mnipe link ya installer katika .apk format.
   
 20. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  mbona katika hyo download file hamna installer.? kwa mliofanikiwa naomba mnipe link ya installer katika .apk format.
   
Loading...