Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

haya wadau wa multmedia uwanja wetu wa kuoneshana viwango huu hapa
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Msaada jina la software ya kuflash android phone
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Please msaada wakuu nahitaji ramani ya kafamasi kwenye vyumba viwili ambacho vitakuwa na vioo mbele lakini itakuwa na mlango mmoja wa kuingilia Mahitaji yake mpaka bati,toa manpower maana...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
habarini za jion wandugu. kwa yeyote aliyewahi kufanya hard reset ya huawei y300-0100 kwa kutumia memory card au mbinu nyingine akafanikiwa naomba anisaidie please coz nimejaribu kufanya hard...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Smadav antivirus ni kwa ajili ya USB scanning, au computer yote?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam Wakuu… Kuna mtu kanipa kazi ya kuwa nimuulizie Gari gani zuri la kutembelea akiwa na familia yake ya watu wanne mpaka 6, aliniambia anahitaji gari la Sehemu tatu yaani mbele kwa...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu.. Nna tatizo la mara kwa mara la kujiwasha gps yenyewe hata km sijaclick on. Hili tatizo hutokea pindi tu niwashapo internet na yenyewe hujiwasha. Simu nnayotumia ni Tecno H6 na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
naomba msaada , natumia tecno R7 ila nashindwa jinsi ya kuweka picha (atachiments) nifanyeje ili na mimi niweze kushare picha humu jamvini??
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Nifundisheni ku blo tayar nina blog hii www.djnedd.blogspot.com
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Nataka ku manage blog yangu na ku add adsense nifanyeje wadau
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Naomba wana tech mnisaidie .tatizo kubwa kwenye hii simu ni kuwa nikiperuzi wakati hapo 2 kwenye chaji net inakata na nakuwa sipatkani kabisa mpaka nizime kisha niweke kwenye chaji, sijui tatzo ni...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Habari zenu ndugu zanguni, Nina iPhone 4s yenye iOS 8.3. Siku mbili zilizopita nilikuwa ninaitumia vizuri tu, lakini ikaisha charge, nilivyochomeka chaja, ikaonyesha apple logo halafu ikazima...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Samahani waungwana, nimejaribu kutafuta humu kama kuna majawabu sijapata. Hivi hizi video za format ya mkv files mfano movie nyingi za ki-nigeria kwenye youtube nikidownload haziplay na media...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini za sikukuu? Ninatumia huawei y300, tatizo ni kwamba nikiweka lain tofauti na voda haiaccess mobile data, yaan hata kuonesha E, 3G au H+ haioneshi lakini nikiweka voda mambo safi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu. Naombeni jamani msaada wa templates nzuri kwa ajili ya blog ya sports tu ambazo ni rahisi kuzitumia na zenye kueleweka. Tatizo niki-google zitakuja...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Qsat yangu nilikuwa naangalia vizuri jana d*tv nikaizima kuiwasha badae inawaka inaonyesha logo ya qsat 28g vizuri ikitaka kuingia kwenye chanel tu inazima inaanza ku load upya ikifikia hapohapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wataalam naomba msaada wenu kuhusu hili tatizo la simu yangu tecno h6, nilimpeleka kwa fundi kuweka charge system vizuri, fundi akaiformat simu,, cha ajabu saizi camera hatoi picha vizuri kama mwanzo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau naomba mwenyekuijua app nzuri ambayo inakuonyesha mechi inayochezwa mfano real Madrid vs arsenal halafu unaona na channel mbayo mechi hiyo inachezwa.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada wenu laptop yangu inasumbua sana kwa sasa haisomi network kabisa . upande wa window system haisomi ram wala prosesa sijui tatizo ni nini japo nahisi partition moja ya window...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom