King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,952
- 98,062
Naiona hii kitu lakini sijui ipo ipo vipi,Naona ina Follow kama twitter,Ebu tupeni ufafanuzi jinsi ya kutumia and the like.
Ni social network iliospecialize na kushare picha.
Mbona ina following na followers kama twitter,what for?
ukifuata niambie nikufuate......
ukifuata niambie nikufuate......
Unatumia Username gani niku-follow?
Huogopi
mi ndo nataka nikufollow.....
Facebook inataosha sana, ukiwaendekeza hawa Wazungu utakuwa kama chizi kwenye mitandao, mimi hata hiyo twitter sina account.
Facebook inataosha sana, ukiwaendekeza hawa Wazungu utakuwa kama chizi kwenye mitandao, mimi hata hiyo twitter sina account.
Sijaona mbadala wa Facebook, kuna jamaa yangu juzi kanitext yuko USA eti ananiambia nijiunge Viber ili tuwe tunaongea bure, nikamwambia kwenye laptop yangu nina Skype akitaka kuongea na mimi atumie Skype siwezi kujaza matakataka kibao kwenye PC yangu mpaka iwe slow speed. am sorry sioni umuhimu wowote wa Twiraa kwa upande wangu.ha!....hebu follow me on twiraa.....
Watu wenye instagram ebu tupeni update kati ya Rayc1982 na Zamaradimketema wamefikia wapi huko? nasikia wanagombea muhogo wa jang'ombe wa yahaya.
==================================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi delete Kabisa
==================================
Kuzunguka kote huko kumbe una lako.
Basi kazi.
Watu wenye instagram ebu tupeni update kati ya Rayc1982 na Zamaradimketema wamefikia wapi huko? nasikia wanagombea muhogo wa jang'ombe wa yahaya.
==================================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi delete Kabiza
==================================
Ule asali?utarudi na manundu kama viazi mbatata!fata nyuki ule asali.....