Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Msaada kwa binamu yenu jinsi ya kupandisha wimbo hapa jamvini
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo motorola wamezindua simu hizo hapo juu. Kama unavyojua hapa jamiiforums tunairecomend sana moto g kama simu nzuri ya midrange 300,000 hadi 500,000. Hebu tuangalie hii simu mpya ya moto g ni...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu za asubh…!!! Naomba msaada wa kitaalam, A/C yangu ya Yahoo inakataa kufunguka ila haitoei kama password au mail ni wrong no…!! Ila kila nikiingiza mail na password inadai tena password na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TTCL Acting Chief Executive Officer Peter Ngota (R), presents a certificate of completion of fiber-optic network connectivity to Acting Director General of MSD Cosmas Mwaifani. Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninatumia simu aina ya huawei G630 ni mpya kabisa. Ina internal memory ya 4GB .Nimeamua kuiongezea na memory card ya 16GB. Tatizo ililonalo ni kuwa ninapotaka ku-update application yoyote or...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
kama una kampuni ya domain registration kwa hapa tanzania.nipe mawasiliano yako hapa hapa na link ya kampuni husika ili unisaidie pia kuandikisha domain husika.jina nitakupa.Au niwekee url ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina Document yangu ya word nimesahau Password naomba mnisaidie niitoe. Nifanyeje?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii imekua around kwa muda mrefu sana huku ikijichukulia umaarufu kwa watu wengi kiasi cha watu kuondoa Kaspersky Antivirus ili kuiruhusu SMADAV kufanya kazi kwenye PC zao. Mbaya zaidi kuna...
2 Reactions
27 Replies
9K Views
Wakubwa, naomba kufahamishwa bei za 1.oil filter 2.air filter 3.fuel filter za SUBARU IMPREZZA na FORESTER STI.....na duka maarufu hapa DAR wanapouza genuine subaru parts. cc: CYBERTEQ MANI...
2 Reactions
13 Replies
7K Views
Habarini wanajukwaa Simu yangu imejifuta mesage zote watsup gafla, nahitaji nizirudishe koz nna namba muhimu ambazo sikuwa nimezisave, zimefutika pia taarifa nyingine muhimu za kwenye msg...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima kwenu jamani! nimeinstall sony vegas pro 12 nikaingiza serial key then nika register from another computer nikajaza yale maelezo yote kisha nika save. Tatizo linaanzia inapoomba...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu, Nina receiver yangu ya strong ambayo niliinunua takribani mwaka mmoja uliopita ila kuna siku mvua ilinyesha kubwa sana inayoandamana na radi na sikuchomoa nyaya ya signal...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nikikonekti modem hata bila kufungua kituo cha intaneti MB zinatumika.Nikianza kubrowse tu mb 300 ndani ya nusu zimekwisha bila kudownload hapo ni JF au FB. Tatizo ni nini? Ina windows 8 Modem...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimetengeneza a simple chat application inayokuwezesha kuchat na watu mbalimbali dunia nzima anonymously, yaani unaficha information zako zote unatumia nickname peke yake, Unaweza kuchat na random...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba mwenye serial key/keygen ya hiyo program tajwa hapo juu anisaidie....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nimetengeneza webseti tiari ila namna ya kuhost kwa garama ndogo ndio mniambie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wapendwa. kichwa cha habari chahusika. asanteni
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Wadau ninaomba maelekezo ya jinsi ya kutuma videos kwenda youtube yaonyeshe na mifano katika hizi sehemu za kujaza(title, description, privacy, tags).
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Anayejua anijuze Tafadhali jinsi yakununua App zile zinazolipiwa kwenye internet
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Ndugu wana JF, Nimekua nikipata simu toka Tigo (0901656564) hii namba imekua kero, yaani wanakupigia then hakuna la maana wanaloongea, so wapendwa ni namna gan naweza disable calls za hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…