Habari,natafuta display na touch ya simu aina ya infocus 310 jamani mwenye nayo au msaada wapi nitapata anijuze nitanunua kwa pesa yeyote
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Habari wana JF
nna pc yng aina ya toshiba settelite haitoi boot option pale nnapoiwasha nikiminya f12 hakuna kinachobadili inawaka moja kwa moja
FUNDI MWENYE SULUHISHO NA HILI NAOMBA ANISAIE
Salam ndugu zangu,
Nina tatizo moja katika PC yangu,nimeangalia movie kwa Musa mrefu sasa baadaye ikaanza ku display michiriz ya rangi tofautitofaut jeté tatizo ni NN na NN solution yake
Leo hii simu yangu iphone 4s imeibiwa kwa tukio la kutumia nguvu,Mimi nilikuwa nimeweka Find my phone ON,Icloud nayo ilikuwa ON,Sasa wajuzi wa mambo nisaidiwe je nitai-Lock vipi hiyo simu ili...
Mimi ni mwanafunzi aliyemaliza elimu ya sekondari miezi michache iliyopita na ninategemea hivi karibuni kuingia chuo ni some CSE (Computer science and engeneering),swali ninalojiuliza sana ni...
kwa wale wadau wenzangu ambao tunajifunza motion graphics,video editing and 3D modeling,nawakaribisha kuitazama kinetic typography music video toka ktk mashahiri ya nyimbo ya mwana hiphop mahiri...
Wadau naomba mnisaidie nataka kulipa pesa brela wamenianbia nilipe kwa cim banking, pia wamenipa na invoice number, mwenye kujua anisaidie ikiwezekana na picha kabisa.
asante
Habari wadau,
Hivi hi ishu ya umeme kukatika nchi nzima kwa wiki ni ya kweli wadau? Nasikia wanasema tunahamia rasmi kwenye gesi, hiyo ni kweli wadau? Kwa yeyote mwenye taarifa please!
msaada wataalam,hizi satellite mbili hapo juu kwa hapa dar naweza kuzipata kwa dish saizi gani kila moja?na je nkiwa na dish ya ku ya cm 130,inawezekana kuset katika dish hilo moja?ahsanteni
Wana janv nataka kununuwa laptop kwa matumiz ya kuandika email na ku woch move's tu kati ya uzi brand ipi nzuri dell,hp, na Toshiba satellite ni ipi nzuri yenye speed 2gb processa 500gb ni...
Kama heading inavyosema,
Naombeni msaada katika Blogg angu, tatizo ni kwamba,
Nmetengeneza blog but nimekwama katika kuzipa link MENUS za blog angu za pale kwenye HEADER,
Kama kuna mwenye utaalam...
Sina hakika kama hii mada ilisha wekwa hapa jukwaani.
Naomba kufaahamishwa jinsi ya kutumia kifurushi kimoja cha internet kwa simu mbili au zaidi.
Yaani anajiunga mmoja bundle then kifurushi...
Wakubwa habari za majukumu nawaombeni msaada juu ya hii iphone 5 ilikuwa iko sawa baada kuisha chaji kabisa imegoma kuwaka nikichaji inaonyesha inachaji zaidi ya siku 2 lakini bado iko asilimia...