Msaada: Michirizi kwenye kioo cha PC

Msaada: Michirizi kwenye kioo cha PC

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Posts
5,530
Reaction score
6,126
Salam ndugu zangu,
Nina tatizo moja katika PC yangu,nimeangalia movie kwa Musa mrefu sasa baadaye ikaanza ku display michiriz ya rangi tofautitofaut jeté tatizo ni NN na NN solution yake
 
mkuu inaweza ikawa video card yako inatatizo je unatumia pc yako kwa shunguli gani hasa kwa mda mwingi je ume overclock pc kwa msaada zaiid hebu nipe specification za pc yako na jaribu kuangalia temp ya graphic card ....halafu niambie tunaweza pata chanzo cha tatizo...
 
sorry kk hyle....hii pc ni
Toshiba satelite MS 645
RAM 3gb HDD320 iimebadilishwa juz HDD ikawa500
Processor 2.5GHZ×2 CO I -3
ni kwa matumiz yakawaida iingawa movie na game ndio zaid mkuu
 
ebu hebu tafuta external monitor na iunganishe na laptop yako kama bado michirizi ipo lcd yako inaweza ikawa na tatizo mara nyingi huwa ni video cable inayotoka kwenye lcd yako to the board inaweza ikawa imekufa so waweza ibadili .Ila kama michirizi bado ipo basi vidoeo controller inaweza ikawa na tatizo..so jaribu ku update video drivers....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom