Mimi ni mtumiaji wa simu yenye kutumia system ya android. Sasa basi katika kupiga simu kwa watu tofauti kuna tatizo limekua likijitokeza.
Nikipiga simu kwa mtu fulani kutoka kwenye contacts zangu...
Nimenunua tecno boomj7 jana tu ila naona inamtindo wa kupata joto wakati nikiwa naitumia hasa wakati naperuzi mitandao, kwenu wakuu wenye uzoefu zaid je Hii ni kawaida au inatatizo niirudishe dukani?
Habarini wana jftech.,
napenda kufahamu machache juu ya haya madish mbalimbali ya kuaccess internet mfano wa hayo madish ni yale yanayopatikana kwenye mabenk mbalimbali.
napenda kujua vitu...
Ha!ha! huu ujinga watu ndo wanaupenda hili Jukwaa why hatudiscuss mambo ya maana aisee kama how cyber crime ina work lakini siyo upuuzi huu kila siku cijui techno yangu imefanyaje nimejiunga na...
habari zenu wakuu. natumai nyote ni wazima.
Nina tatizo kwenye simu yangu aina ya DITEL nikiiwasha inawaka lakin screen haionyeshi chochote.kinachoonekana ni mwanga kwa mbali. lakin nikigusa...
Wataalamu wa it... kuna samsung moja ninayo naona inaleta vitu sielewi yaaani almost siku tatu sasa...
Nikiwa natype ipo vizuri tuuu bt kana nikikoseaa kutype kitu nikisema nifute herufi L na ile...
Wadau naomba anayeweza kunipatia APK file la JamiiFrorum for android anisaidie. Ninashindwa kulidownload kutoka google store kwani simu yangu haina client ya gmail na nimeshindwa kwabisa...
Mwaka jana nilinununua tv aina ya Samsung SMART TV UA40F6400 nje ya nchi. Tatizo ambalo limeendelea kunikera na nimeshindwa kulipatia jibu ni ule mkanda unaozunguka ukionesha Smart Hub, Voice...
Habari hivi karibuni nilinunua dvd lengo langu niikop kwenye lap top yangu
Nilipojaribu kukop baadala ya kuwa 4 gb ikazidi ukubwa nikaamua kutumia power iso bado ikashindikana
kwa kutumia hiyo...
Baada ya kushindwa kufanya manunuzi mtandaoni kama ilivyokuwa zaman niliamua kuwa siliana na crdb customer care ndipo wakanambia kuna kias cha 79000 kimeshikiliwa wakanishauli nisubiri masaa 72...
Wadau Heshima kwenu
Naomben msaada wa kuhifadhi baadhi ya Data zangu kutoka kwenye simu kwenda katika Gmail
Au kama kuna mtu anajua Application yeyote ya kuhifadhi data
plz naomba mnisaidie...
1. Unatakiwa kuijua IMEI (International Mobile Equipment Identity) pamoja na Serial namba ya simu yako.
Ili kupata IMEI namba bofya *#06# simu yako itaonesha 15 digits. hiyo ndio IMEI namba yako...
Kuroot simu ni nini? Ni kitendo cha kuruhusu mtumiaji wa smartphone ya android kupata ruksa zote kwa kufanya chochote atakacho na smartphone yake kwenye sub-sytems zake, hapa ni kwamba mtumiaji...
Naomba nisaidiwe cellular network gani ina reliable signals za internet? Maana vodacom naona ni shida mnoo, huwa najiunga 30days plan kwa 25,000/=. Toka day 1 mpk ya 30 hakuna tofauti ya data...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.