Wadau naomba mnisaidie nataka kulipa pesa brela wamenianbia nilipe kwa cim banking, pia wamenipa na invoice number, mwenye kujua anisaidie ikiwezekana na picha kabisa.
asante
Wadau naomba mnisaidie nataka kulipa pesa brela wamenianbia nilipe kwa cim banking, pia wamenipa na invoice number, mwenye kujua anisaidie ikiwezekana na picha kabisa.
asante
Inaitwa Simbanking mkuu. Cha kwanza jiunge nao, aidha c.r.d.b au n.m.b. Ukishajiunga maelekezo yote yako wazi kama vile mpesa au tigo pesa. Kiufupi unapata access ya ac yako kupitia simu yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.