Apps kama kupatana.com zinaingizaje pesa?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,675
Wataalamu nauliza hilo swali
apps zinaingizaje pesa?
na je account za Instagram zenye followers wengi nazo zinaingiza pesa?
 
Kama kuna ads basi ni njia mojawapo yakupatia pesa.
sijawahi kuiona but i wish to give it a try though not soon at al.

instagram wengi huingiza sifa.
 
Kwa nnavyoelewa mimi wanalipwa na Google kulingana na no of downloads/users

Wanalipwaje?
na apps za watz kama kupatana je?
google inawalipaje?
 
Wataalamu nauliza hilo swali
apps zinaingizaje pesa?
na je account za Instagram zenye followers wengi nazo zinaingiza pesa?

Account zenye followers wengi, Instagram na Twitter zinaingiza pesa kupitia matangazo. Believe it or not, sasa hivi kuna wanaocharge Milioni Moja na kuendelea kwa kukutangazia kwenye instagram page yake. Unaweza kujaribu kutafuta a famous instagram page kama yule bikira wa kisukuma then jaribu ku negotiate nae kukutangazia bidhaa ili upate uhakika. Anayesema wanavuna sifa tu hajaelewa nguvu ya social media imefikia level ipi kwa ukanda huu
 
Kwa nnavyoelewa mimi wanalipwa na Google kulingana na no of downloads/users

Si kweli, number of downloads hulipwi hata shilingi tano.. Mimi developer so najua, ingekua hivo kila mtu angetengeneza app.

Apps kama hazina matangazo na ni bure basi watakua na njia yao wenyewe ya kupata pesa, mfano wengine wanapata from investors, apps kama QuizUp, haziingizi hata shilingi from users, pesa wanapewa na investors tu, wanatengeneza kwanza base ya watu mwisho wa siku watakuja kupata returns baadaye wakishakua na users wengi.

Kupatana nao kama hawalipwi na mtu anayeuza kitu yaani percentage flani ya kile kitu anachouza basi wapo bado wanajenga user base yao, site ikishakua famous ikapata users wengi sana then itawapa mpenyo rahisi kuchaji wafanyabiashara wanaouza vitu kwenye site yao. Huwezi kuanza tu mwanzo na kuwachaji watu pesa huku huna users hutopata muuzaji.

Kuhusu instagram accounts, zinaingiza pesa kwa njia nyingi,
Njia ya kwanza unatangaza kitu unachouza watu wanakucontact unawauzia.
Njia ya pili, unajenga followers wengi, then unauza account kwa watu wanaohitaji kutangaza biashara zao.
Njia ya tatu, unajenga followers wengi alafu unatafuta watu wanaotaka kutangaza biashara unawachaji kiasi flani kwa kila tangazo.
 
Sawa mkuu nimeadd kitu hapa
 
Ripoti kutoka katika gazeti la Kihispania AS na kampuni ya mawakala wa matangazo ya Opendorse imethibitisha kuwa Cristiano Ronaldo mwenye followers milioni 37.7 katika mtandao wa twitter. Post moja ya tangazo la biashara akipost katika account yake ina thamani ya pound 169,280 ambayo ni zaidi ya milioni 500 za Kitanzania.
 
Back
Top Bottom