giftcharles
Senior Member
- Aug 11, 2015
- 147
- 77
Mimi ni mwanafunzi aliyemaliza elimu ya sekondari miezi michache iliyopita na ninategemea hivi karibuni kuingia chuo ni some CSE (Computer science and engeneering),swali ninalojiuliza sana ni kwamba je hii ni fani inalipa vizuri hapa bongo au ninajidanganya tu.
shukrani zangu kwa wote watakao jibu swali hili...